Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
hii kesi Lulu akizumbaa anakwenda ndani,kwa ushahidi wa Mdg wake kanumba na yule Dr,sidhani kama utamuacha salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii iko kiimani zaidi.Tunataka haki ya Ki Hamurabi,jino kwa jino,jicho kwa jicho,malipo ni hapa hapa duniani.Hao ni viumbe na waliumbwa ili tuwale sisi binadamu, tumeamrishwa kula wanyama, matunda na mimea. Na ndio maana kuna siku ya hukumu hiyo iko maalum kwa ajili ya viumbe kama binadamu lakini sio kwa viumbe kama hao kuku, mbuzi wala ng'ombe
Mkuu unavuta bangi?Mkuu hii iko kiimani zaidi.Tunataka haki ya Ki Hamurabi,jino kwa jino,jicho kwa jicho,malipo ni hapa hapa duniani.
Ameshaulizwa kama alikua na lesseni amejibu kua ndio alikua nayo, swali aliulizwa na Jaji Rumanyika sasa swala linakuja alipata vipi lesseni before 18Gari aliendesha mwenyewe, kuwa na leseni au kutokua nayo sio shtaka linalomkabili
Ndiyo navuta nimeifunga kamba naivuta kuelekea hukuMkuu unavuta bangi?
Alikuambia kama anampenda.Hivi mtu unayempenda unaku.tia kila siku kaanguka ghafla ndugu yake anasema namtafuta Dr aje ww unaweza kweli ukaenda coco kula upepo. Huyu dogo ahojiwe vzuri.
Ishakuwa traffic case tena.alisema alikuwa hajatimiza miaka 18 wakati huo! lazima aulizwe aliendeshaje gari bila leseni! na kama alikuwa na leseni aliipataje wakati alikuwa hajatimiza 18.......
Hii siyo kesi,ni admission ipo kwenye sheria ya ushahidi inatumika tuu kumdhaifisha mahali ila siyo kesi.Haipo hata kwenye charge sheet na haiwezi kuingizwa.Ishakuwa traffic case tena.
kesi juu ya kesi.
Nni anatuhakishishia Kanumba alikuwa kalewa jamani!Uyo mtoto kwa umri aliokua nao kipindi kile kanumba alikua ana mbaka na kumtumia vibaya kisa kawe kastaa nahisi kuna vitu kali kubali bila ridhaa yake yani hayakua mapenzi baina ya mtu mzima na mtoto marehemu huko aliko kama anaona nadhani anamhurumia lulu, pia mtu akilewa pombe kupepesuka na kuanguka ni kama karatasi vile ok tuiachie mahakama iamue pia MUNGU awe nawe lulu.
Mtoto mdogo anatoka kwao usiku!Huyo marehemu ana kesi ya kujibu kwa kumlala mtoto mdogo
Hivi hizi akili za kitoto ndio hata watoto wenu wanazo? Mtu anaenda kwa bwana usiku mnaita akili za kitoto!Si aseme alitengenezewa na marehemu mpenzi wake na akamwambia asiogope atapatw shida. A establish kuwa alikuwa na akili za kitoto
Halafu mimtu inasema alikuwa na akili za kitoto!Huko coco hakukuwa na kitu nilienda tu kutuliza akili..........Kulikuwa na swali la kilichokuwa coco beach?..........mtoto wa kike usiku wa manane unaenda coco beach mwenyewe kutuliza akili? ..........Kidume, kidume,kidume ndugu yangu.....semeni ukweli wa kilichomuua mjomba wangu na mwanafunzi wangu Kanumba.