KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

Atapigwa mvua kama tano hivi mitigation factors zitamsaidia,umri wake kuwa mdogo,tabia ya ukali ya marehemu,ni kosa la kwanza na atakavyojitetea
Angesema ukweli Alikiba alimfuata wakaenda coco beach kuliwazana
 
Atapigwa mvua kama tano hivi mitigation factors zitamsaidia,umri wake kuwa mdogo,tabia ya ukali ya marehemu,ni kosa la kwanza na atakavyojitetea
Tutahakikisha vipi marehemu alikuwa mkali?
 
Anajitetea ili kuepuka kifungo, ila dhamira inamshitaki for what she did for Kanumba. [HASHTAG]#JUSTICE[/HASHTAG] FOR KANUMBA.
Inawezekana ilkua fighting za kawaida za mahusiano na kanumba ila ningum kuamin km alidhamiria kilichotokea at all
 
alisema alikuwa hajatimiza miaka 18 wakati huo! lazima aulizwe aliendeshaje gari bila leseni! na kama alikuwa na leseni aliipataje wakati alikuwa hajatimiza 18.......

tell she was under 18 when she allegedly committed the crime. is it true
 
Ngoja tu ale hizo mvua..
Atasemaje kuwa aliendesha gari wakati alikuwa ni under age?
Umeshauliza MAMLAKA ZA TANZANIA JINSI ZILIVYOKUWA CORRUPT THOSE DAYS..??

Je kama walipewa rushwa na kuchanganyikiwa na umaarufu wa Lulu wakampa leseni..??

Je kama Kanumba mwenyewe ndiye aliyemtafutia leseni kwa nguvu zote..??

Kama kweli alikuwa under age na alikuwa na leseni, huoni kwamba mamlaka zinazohusika na utoaji leseni ndio zenye makosa hazikufanya uchunguzi wa kutosha au walikuwa corrupt..??

Kama wameamua kuhamisha magoli, basi tuanze na wao kwanza, polisi na TRA. Walitoaje leseni..??
 
.kiufupu yupo in trouble. kajipa mwenyewe trouble
 
nimekaonea huruma kuhusu issue ya leseni!
yani mwanzoni ilikuwa vere vere kuwa alichukuliwa na texi iliyokuwa inamsubiri nje na Kiba!
angestick kwenye ukweli tu na vile ulikuwa maana ndiko salama yake!
hiii bumba bumba story inamdididmiza zaidi
 
sijui wakili wake kwa nini asimwambie na kumshauri? au labd kanajifanya kanajua kila kitu
 
yes!
yani kwa umri ule ajisemeage tu ukweli ilikuwa one two three four!
aache waamue!
AKILETA POZI ZA SIJUI NIKAWASHA GARI NIKAENDA COCO!
we lulu alivo mfupi tu sa hiz mwaka 2012 alikuwa hata anafika kwenye pa kukanyaga mafuta kweli
 
Mmeshaambiwa huyu jaji ni msukuma nyie mnategemea nini si mnawajua wasukuma walivyo na roho mbaya?
 
I dont think she killed him or intended to harm him in any way, she just happened to be at a wrong place in a wrong time. I hope she will be acquitted.
 
Back
Top Bottom