KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

Kifo cha kanumba ndo kilifanya watanzania wengi wajue mambo ya free mason
 
Lakini leseni yake pia inaweza ikawa kithibitisho cha kutuambia by that time Lulu alikuwa na miaka mingapi
lulu alikuwa na miaka mingapi ni immaterial na groundless concern hii case,,
kesi inahusu mauaji,
je lulu alimwua huyo jamaa,if yes,how?,

je lulu alimsukuma huyo jamaa,if yes,nani aliona?,

report ya daktari je inasemaje,?,na hii ndo msingi wa hii case ulipo,
lazima ripoti ije na maelezo nini hasa kilimuua,
ripoti ya kiwango cha kilevi kilichokutwa mwilini mwa marehemu,etc
 
Mwanasheria wa utetezi kama anajua utetezi anaweza kukubali kwamba Lulu aliendesha bila leseni au alikuw ana leseni ya mazabe (kama kweli ilikuwa hivyo) kwa sababu ni bora kuwa na kesi ya kuendesha bila leseni kuliko kesi ya mauaji.
Na kama wakienda kwenye system za TRA wakikuta ni kweli ana driving license yake ni halali ?
 
Na kama wakienda kwenye system za TRA wakikuta ni kweli ana driving license yake ni halali ?
Tatizo si systemya TRA inasemaje,tatizoni ukweli ni nini.

TRA au kokote wanakotoa leseni wanaweza kudanganywa tu mtu akapata leseni akiwa mdogo kuliko miaka 18, kamailikuwa hivyo, hapondipomwanasheria mzuri anaweza kushauri kukubalikosa hilo ili kukataa kosa kubwa la mauaji.
 
Sijatukana kama wewe pumbavu!. Sijamlaumu huyu mtoto kahaba kwa ukahaba wake, na mimi siyo ke wala sijawahi kuridhia matendo ya upumbavu unaoutetea, lakini hapa nina ONYESHA RANGI HALISI YA LULU KWAMBA HUWA NI KAONGO KAONGO SI KA KUKAAMINI!. Kwa hiyo unataka niseme ni ka kweli sana haka ka malaya? Wewe ndelea na ukuwadi ama ukahaba wako lakini usichukie unapoitwa kahaba kwa kuwa hiyo ndiyo rangi yako!. Pumbavu!
Heheheeh mkaka[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa nn asikimbilie kwao kwa mama ake eti aende kupunga upepo Coco apunguze stress mtoto Gan huyo anawaza Coco wakati anajua kuna ktu kimetokea ambacho Si cha kawaida kwake....
yeye aliona jamaa yuko pombe mbaya na kazimika hakuwa na wazo la mtu kufa kwani sidhani kama palikuwa hata na damu ambao ingeweza kumgutusha kwamba kuna kitu serious kimetokea,

alichofanya ni kumwita mdogo mtu amwangalie kaka yake yeye akasepa,
she was just a teenager remmember,not a grown woman who think like one
 
Kwahiyo alimkimbiza na taulo hadi nje...akarudi nae tena chumbani ndo akadondoka ...!??

Mmhhh...!!??

Mbona haimake sense...
Ukweli ni kwamba hapa kwenye sababu ya kuanguka kuna kitu kimejificha hapa. bado pana maswali. Yaani yeye akiwa chooni kanumba akaanguka peke yake.

Labda uwe na akili ya kuazima ndio utaamini hili.

Nachoamini mimi lulu lazima aliusika kuanguka kwa kanumba,
Wakato alikua anajitetea.
Kwa hiyo Ameua bila kukusudia.

Mimi ningekua hakimu wa kesi hii ningemwachia huru bila shaka alikua anajitetea.
Ila kwa sheria zetu hata ukiua bila kukusudia bado una hatia.
ndio maana anakwepa hata kusema wakati ananipiga nilimsukuma akadondoka.
 
Kwa nn asikimbilie kwao kwa mama ake eti aende kupunga upepo Coco apunguze stress mtoto Gan huyo anawaza Coco wakati anajua kuna ktu kimetokea ambacho Si cha kawaida kwake....
Ni swali la msingi na jibu lake inaonyesha alikua anajua madhara yaliyomkuta kanumba.
Ndio maana badala ya kurudi nyumbani kakimbilia kwenda kujificha.

Mm nachoona utetezi wake atakwama tu mbele,
labda awaonge mawakili, na hakimu.
Hapa hakuna namna yeyote ambayo atathibitisha kutohuska kwake na kuanguka kwa kanumba kuliko pelekea kifo cha kanumba.

Haikubaliki kanumba alianguka mwenyewe tu ati wakati yy amejifungia chooni.
Hakuna uchorochro wa kujifichia
Lazima hakili ameua bila kukusudia.
 
Tobaaa[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Marinda je anayo?....[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Ameanza mapenzi kabla ya kuchagua jinsia hapo Marinda yanasalimikaje plus ye ndo alikuwa anaongoza kwa kuvaa vimini
 
Hii Kesi inamlalia aombe tu jupunguziwa miaka kwa utetezi huu aliotoa
 
Back
Top Bottom