KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

Lazima alambwe miaka kidogo jela isipokua hivyo basi sheria zitakua zimepindishwa
 
Apo kwenye "nikawasha gari nikaomdoka "patamcost swala la umri
Hii lazima imkamate alipata Leseni akiwa na umri gani na tukumbuke Alisha iambia Mahakama Siku za nyuma kuwa yeye Yuki chini ya miaka kumi na nane ndio maana akapewa dhamana
 
Heee!2012 lulu alikuwa under 18?mbona anaonekana mkubwa yule
Kabla ya janga, alikuwa anasema she's above 18 ili kuhalalisha aliyokuwa anafanya including suala la kupigwa chini kipindi cha Watoto Wetu (ITV) kwamba tayari alishakuwa mtu mzima!!! Alipokumbwa na janga, akabadili gia angani na kusema yupo Under 18 ili kukwepa kitanzi!!!

All in all, I feel sorry for her kwa sababu naamini ile ilikuwa ni ajali!! Kwa kuangalia umbo la Kanumba na Lulu wa wakati ule, it's obvious Lulu alikuwa anajitetea kwa kumsukuma Kanumba na hapo akaenda kujibamiza ukutani!!!

Na vile vile naamini ndugu zake walimchelewesha kumpeleka hospital kwa hofu ya kuogopa scandal manake hatimae siri ingefichuka kwamba Kanumba baba zima anakamega ka-Lulu.

Aidha, huenda hawakufahamu kwamba aliumia sana vinginevyo sioni busara iliyomfanya mdogo wake Kanumba kwenda kumfuata the so called daktari wa familia badala ya kumkimbiza Kanumba hospitali moja kwa moja!!!
 
Kwahiyo inawezekana wakaachana na kesi yake na kudeal ya kuendesha gari bila leseni?
Hilo la kuendesha gari bila leseni lazima litaingizwa tu, hasa kwenye ishu ya umri!
Kumbuka wakati ule wa kifo, ilidaiwa alikuwa under 18, sasa akijichanganya hapa lazima point of weakness itapatkana tu!
Mahakamani kunatokea vitu vingi, na linaweza kuingizwa jambo ambalo halina uhusiano kabisa na kesi, hivyo majibu yatakayopatikana yatatumika kujistify premises fulani!
 
Uyo mtoto kwa umri aliokua nao kipindi kile kanumba alikua ana mbaka na kumtumia vibaya kisa kawe kastaa nahisi kuna vitu kali kubali bila ridhaa yake yani hayakua mapenzi baina ya mtu mzima na mtoto marehemu huko aliko kama anaona nadhani anamhurumia lulu, pia mtu akilewa pombe kupepesuka na kuanguka ni kama karatasi vile ok tuiachie mahakama iamue pia MUNGU awe nawe lulu.
 
Tambueni kuwa kabla lulu kutoa hio statement, anakaa na mwanasheria wake na wanaijadili. Mnaona ilivyonyooka, ni mwanasheria wake amesaidia. Hio ya leseni haina impact ndio maana mwanasheria wake kairuhusu.
 
Sawa, inawezekana muongo, lakini muongo kuhusu nini?

Inawezekana alikuwa na leseni ya bandia, akasema alikuwa na leseni, akajishtukia leseni haikuwa halali, akachomoa, akadanganya kuhusu leseni.

Hilo halimaanishi kadanganya kuhusu kuua.

Kwamba kakataa alikuwa namahusiano na Komba inawezekana anadanganya, huyu mtoto mdogo, Komba mtu mzima alikuwa na mkewe na watoto wakubwa kuliko Lulu. Sasa msichana kama Lulu akikataa ukweli kwamba alikuwa na uhusiano na jibaba inawezekana anadanganya, lakini je, kudanganya kuhusu uhusiano huo kunamaanisha kwamba yeye ni muuaji?

Ningeona contradiction ina nguvu zaidi kama ingeweza kuhusishwa moja kwamoja na kesi ya mauaji, siyo habari za kumharibia character tu. Mtu yeyote ukimuweka katika microscope utakuta mapungufu, huyu ana mchepuko, huyu hajalipa kodi, huyu anampiga mkewe, huyu mlevi mbwa, lakini, kama tunazungumzia kesi ya mauaji, kitu muhimu ni ushahidi wa kesi ya mauaji, si hizi habari nyingine. Unless zinaingia moja kwa moja katika kesi ya mauaji.

Kama Kanumba angefariki katika ajali ya gari ambalo Lulu alikuwa anaendesha, hapo habari za leseni ya Lulu ingekuwa very relevant.

Lakini haikuwa ajali ya gari, suala la leseni ya Lulu linakuja vipi? Sisemi kwamba halihusiki, inawezekana linahusika (sijafuatilia kesi kwa karibu). Ningependa kujua tu, linahusikaje?

Ukimchukua mtu yeyote na kuanza kumdai risiti za nguo zake zote alizonunua katika miak 10 iliyopita, utakuta kuna nguo kibao hana risiti.

Je, hilo linatosha kusema huyu ni mkwepa kodi na hivyo anaweza kuua tu?
Suala la leseni linakuja katika kujaribu kuthibitisha tukio hili linapotokea je mtuhumiwa alikua na umri wa miaka 18?
Mtuhumiwa anasema alikua na miaka pungufu ya 18 ikiwa na maana haruhusiwi kumiliki leseni, ilikuaje akaendesha gari?
Inasemwa alipoulizwa mara ya kwanza analeseni jibu lake ni ndio ikiwa na maana kama analeseni vilevile umri wake moja kwa moja inaonekana ni miaka 18 au zaidi.
Baadae anakataa hana leseni lakini ikifuatiliwa kwa taasisi husika zinazotoa leseni atakutwa alipewa leseni na umri wake ukiwa miaka 18 na zaidi.
Angekua na advantage kama akithibitisha alikua na chini ya miaka 18 wakati tukio linatokea na ndio Maana uhalisia wa umri wake bado ni kitu muhimu.
 
Suala la leseni linakuja katika kujaribu kuthibitisha tukio hili linapotokea je mtuhumiwa alikua na umri wa miaka 18?
Mtuhumiwa anasema alikua na miaka pungufu ya 18 ikiwa na maana haruhusiwi kumiliki leseni, ilikuaje akaendesha gari?
Inasemwa alipoulizwa mara ya kwanza analeseni jibu lake ni ndio ikiwa na maana kama analeseni vilevile umri wake moja kwa moja inaonekana ni miaka 18 au zaidi.
Baadae anakataa hana leseni lakini ikifuatiliwa kwa taasisi husika zinazotoa leseni atakutwa alipewa leseni na umri wake ukiwa miaka 18 na zaidi.
Angekua na advantage kama akithibitisha alikua na chini ya miaka 18 wakati tukio linatokea na ndio Maana uhalisia wa umri wake bado ni kitu muhimu.
Tushajadili yote hayo. Fuatilia mtiririko.
 
Katikakesikamahii, kwa umri wa Lulu, upeo wake kielimu etc ningeshangaa sana asingejichanganya hata kidogo.

In fact ingeleta picha kama kawa coached.

Kwamba amejichanganya ni kitu ambacho nimetegemea.
Na uckute apo kamesema kua kalikua n lesen il kaonekane kwmb kalikua sahh kudrive gari... Bt kakastuka tena
 
Atapigwa mvua kama tano hivi mitigation factors zitamsaidia,umri wake kuwa mdogo,tabia ya ukali ya marehemu,ni kosa la kwanza na atakavyojitetea

Hakuna kitu kama hicho duniani. Hivi nyinyi mnasoma sheria za wapi hizi?

Unaua mtu halafu upate nafuu kwa vile marehemu alikuwa mkali mkali?

Na muuaji alikuwa mtoto? Basi asingeshitakiwa.

Wakishasema you are competent to stand trial hawawezi ku back pedal na kusema ulikuwa mtoto au mgonjwa n.k n.k....
 
Mushkeli uko wap, kumbuka alikua tayar kakimbilia kujificha chooni. Mtu kaanguka unaskia kishindo. Halafu unaambiwa mtu ghafla anaumwa ngoja aje daktari, hujui anaumwa nn kwa kiasi gan, na mnaugomvi. Ungekua ni ww umefanikiwa kuchoropoka chooni utabaki ndani unamsubir tena daktari na huna uhakika kama kwel anaumwa au atazinduka ghafla.

Issue ya kwamba alienda Coco sio issue hata. Coco kuna club na sehem za refreshment (sio alienda kukaa kwenye mchanga wa bahari au kuogelea). Wenyewe walitaka aende wap sasa?

In my case I honestly buy her statements. Ni logical kabisa.


Watu tuna enda COCO hua tuna kaa kwenye magari usiku , labda hauna gari ndio sababu huja jua hilo
 
Hivi mtu unayempenda unaku.tia kila siku kaanguka ghafla ndugu yake anasema namtafuta Dr aje ww unaweza kweli ukaenda coco kula upepo. Huyu dogo ahojiwe vzuri.
Lulu ni m'machame !
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom