KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

presha ilipanda nilivyoskia
"kutupa burudani" bahati nzuri ikashuka baada ya kumalizia sentensi yako "kupitia kazi yake ya sanaa"
 
Hakuna kinacho fichwa hapo, jamaa alikuwa anataka kumcharanga mapanga Lulu, na yeye Lulu kajihami pengine angembaka utatembeaje na watoto wa miaka chini ya 18?

Hii kesi ifutwe sioni kama ina umuhimu......
unambakaje mtu ambaye una uhusiano naye kwa muda wa miezi minne then muulize lulu bikra alitolewa na nani
 
Halafu watetezi wake wanasingizia kanumba alikua anabaka,na ali kiba je hakuwa anapewa mchezo! Marehemu nae ana haki
alikua yuko na ali kiba na kanumba alilijua hilo ndio mana akamuwashia moto
 
Watu hawamwamini Lulu kwa sababu alidanganya umma kwa kufanya birthday party ya kutimiza miaka 18 kumbe sio na kumiliki leseni ya kuendesha gari.
Mahakamani hivyo vitu vitatumika na mawakili wa serikali
.
 
jamaa walianza kukatafuna na chumvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…