KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

Elimu nayo nadhani inachangia kujichanganya mara nyingi japo ata mwenye elimu pia anaweza kujichanganya ila mara chache.
Mi namuombea sana kwa MUNGU amuepushe na kifungo, kufungwa jela sio kitu kizuri kumuombea mtu. Naimani MUNGU atamsaidia na atakuja uraini kuendelea kutupa burudani kupitia kazi yake ya sanaa.
presha ilipanda nilivyoskia
"kutupa burudani" bahati nzuri ikashuka baada ya kumalizia sentensi yako "kupitia kazi yake ya sanaa"
 
Hakuna kinacho fichwa hapo, jamaa alikuwa anataka kumcharanga mapanga Lulu, na yeye Lulu kajihami pengine angembaka utatembeaje na watoto wa miaka chini ya 18?

Hii kesi ifutwe sioni kama ina umuhimu......
unambakaje mtu ambaye una uhusiano naye kwa muda wa miezi minne then muulize lulu bikra alitolewa na nani
 
Halafu watetezi wake wanasingizia kanumba alikua anabaka,na ali kiba je hakuwa anapewa mchezo! Marehemu nae ana haki
alikua yuko na ali kiba na kanumba alilijua hilo ndio mana akamuwashia moto
 
Watu hawamwamini Lulu kwa sababu alidanganya umma kwa kufanya birthday party ya kutimiza miaka 18 kumbe sio na kumiliki leseni ya kuendesha gari.
Mahakamani hivyo vitu vitatumika na mawakili wa serikali
.
 
Uyo mtoto kwa umri aliokua nao kipindi kile kanumba alikua ana mbaka na kumtumia vibaya kisa kawe kastaa nahisi kuna vitu kali kubali bila ridhaa yake yani hayakua mapenzi baina ya mtu mzima na mtoto marehemu huko aliko kama anaona nadhani anamhurumia lulu, pia mtu akilewa pombe kupepesuka na kuanguka ni kama karatasi vile ok tuiachie mahakama iamue pia MUNGU awe nawe lulu.
jamaa walianza kukatafuna na chumvi
 
Back
Top Bottom