Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Nakubaliana na wewe kwasababu tulioanza kumuona kwenye runinga nakumbuka ilikuwa kwenye 2003 tunajua kuwa hakuwa chini ya miaka kumi kipindi ile.Liar yule alikua 19
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe kwasababu tulioanza kumuona kwenye runinga nakumbuka ilikuwa kwenye 2003 tunajua kuwa hakuwa chini ya miaka kumi kipindi ile.Liar yule alikua 19
Kwani hata kama hakuwa na leseni au ilikuwa fraudulent inahusiana nini na kesi?baba hujaelewa..mushkeli upo kwenye kuwasha gari..
ni gari la nani?
kama ni lake basi alikua anaendesha akiwa chini ya miaka 18?
alikua na leseni ya udereva?
Swala la kuendesha gari bila ya kuwa na leseni au kuwa na leseni feki haina uhusiano na kesi anayokabiliwa ya mauaji unless Lulu angekua anaendasha gari uku kampakia kanumba alafu wakapata ajari kanumba akafa hapo sawaNa hapo basi Lulu alikuwa na jinai ya kuendesha gari kinyume cha sheria!
Kwa maelezo yake anasema aliwasha gari akaenda huko cocobeach, je leseni ya kuendesha gari aliitoa wapi angali hakuwa amefikisha umri wa miaka 18 ambao kisheria ndio unaomruhusu mtu kupewa leseni na kuendesha gari..?!?
Hata kama ameidanganya mahakama atahukumiwa kwa kuidanganya mahakama au kwa kesi yake ya manslaughter?Mushkeli ni Lulu kuendesha gari akiwa na umri chini ya miaka 18...
inaonyesha kama anaidanganya mahakama maana assumption ni aisngepata leseni akiwa under age..so waki clear la umri kesi ya msingi itasonga
Umri utasaidia nini upande wa mashitaka.Linaweza kutumika ku establish ushahidi mwingine(umri) ambao utarahisishia kazi upande w mashtaka
Au 18..mi tangu nianze kumuona lulu nilikuwa primaryLiar yule alikua 19
As always,mawakili wa serikali mapoyoyo amebaki kuuliza swala la taulo kuanguka.Aliendeshaje gari? Alikua na leseni kwa umri huo?
Ana hatia gani?Ukifuatilia hayo maneno ni ya kupangwa yameachana sana lulu ana hatia ila namwombea asiwekWe jela tu
Lina uhusiano wa karibu sana na umri wake.Gari aliendesha mwenyewe, kuwa na leseni au kutokua nayo sio shtaka linalomkabili
Ipi inayomake sense iseme?Kwahiyo alimkimbiza na taulo hadi nje...akarudi nae tena chumbani ndo akadondoka ...!??
Mmhhh...!!??
Mbona haimake sense...
Mwaka 2011 alifanya bday part ya kuturn 18 na alishangilia ili aweze kudriveAu 18..mi tangu nianze kumuona lulu nilikuwa primary
Tangu primary hadi hivi muda huu ni miaka mingi
utetezi mzuri, ukisoma hakuna mahali anasema alishikana na kanumba, hivyo alijifia mwenyewe. She did not set in mmotion the actions that caused his death! Najaribu ku imagine ukiwa unanikimbiza ukaanguka ukafa, sheria iansemaje?Kwa utetezi huu inaonyesha kiasi fulani ali plan kama self defence fulani.
Kwahiyo inawezekana wakaachana na kesi yake na kudeal ya kuendesha gari bila leseni?Na hapo basi Lulu alikuwa na jinai ya kuendesha gari kinyume cha sheria!
Kwa maelezo yake anasema aliwasha gari akaenda huko cocobeach, je leseni ya kuendesha gari aliitoa wapi angali hakuwa amefikisha umri wa miaka 18 ambao kisheria ndio unaomruhusu mtu kupewa leseni na kuendesha gari..?!?
Tukumbuke pia judge sio poyoyo,mtu akilewa tu akakimbia uwezokano wa kuanguka upo ila sio kuanguka kwa kishindo kikubwa kiasi cha kupata brain concussion ikiwa sakafu haikulowa.utetezi mzuri, ukisoma hakuna mahali anasema alishikana na kanumba, hivyo alijifia mwenyewe. Najaribu ku imagine ukiwa unanikimbiza ukaanguka ukafa, sheria iansemaje?
Hee!kumbe mkubwa...basi kwenye hii kesi kazi anayoMwaka 2011 alifanya bday part ya kuturn 18 na alishangilia ili aweze kudrive
Kwani nyoka akikungonga huwa hana leseni?!Ana na kesi ya 'kugonga' mtu nini?