kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,113
- 8,610
Issue itakuwa umri wake wakati tukio lilipotokea maana kwa sheria zetu kuwa na leseni ni sharti uwe 18+Ana na kesi ya 'kugonga' mtu nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue itakuwa umri wake wakati tukio lilipotokea maana kwa sheria zetu kuwa na leseni ni sharti uwe 18+Ana na kesi ya 'kugonga' mtu nini?
Hayo wanaita maswali chokozi yanaruhusiwa japo Judge anaweza kuzuiaAna na kesi ya 'kugonga' mtu nini?
😀😀😀Mahakamani ni kama mchezo wa draft. Unaweza ukawahi kuingia kingi lakini kingi yako ikaliwa vile vile!.
Hawezi kufungwa huyo, atahukumiwa kwenda jela miaka kadhaa au kutoa fidia ya hela kiasi flani, kesi inaishia hapo........Ndo hivyo mkuu aache kujichanganya atakula miaka ya kutosha
"ku date" iweke kwa kiswahili mkuu!Kujichanganay huko ni UTHIBITISO WA UWONGO!. MTU MWONGO SIKU ZOTE KUJICONTRADICT. ANGELIKUWA ANASEME UKWELI ANGE FLOW SAWA SAWA NA WANGELIONA HAKUNA MAHALA ANAJICHANGANYA.
KUJICHANGANYA KWAKE HASA NDICHO KINACHOTHIBITISHWA KWAMBA TAARIFA IMEANDIKWA KWENYE SCRIPT AKAFUNDISHWA KUSEMA ASIJUE KWAMBA ANAOKUTANA NAO SIYO BONGO MOVIE NI WASOMI WANAOJUA KAZI YAO.
TATIZO KUBWA LA HAKA KATOTO NI KAONGO KAONGO TU, HUWEZI KUKAAMINI KWA LOLOTE.
MFANO, KUKATAA KWAMBA HAKUWA NA UHUSIANO NA MAREHEMU KOMBA WAKATI SISI NI MASHAHIDI HATA ALIVYOKUWA AKIMFUATA HADI MBINGA KULE, NA KANAWEKWA HOTELINI TUNAFAHAMU BILA HAYA KANAKUWA NA YULE MZEE HADHARANI. LEO KANASEMA HAKAKU DATE NAYE. KASHENZI TU! UMALAYA UMEKAJAA!
Kujichanganay huko ni UTHIBITISO WA UWONGO!. MTU MWONGO SIKU ZOTE KUJICONTRADICT. ANGELIKUWA ANASEME UKWELI ANGE FLOW SAWA SAWA NA WANGELIONA HAKUNA MAHALA ANAJICHANGANYA.
KUJICHANGANYA KWAKE HASA NDICHO KINACHOTHIBITISHWA KWAMBA TAARIFA IMEANDIKWA KWENYE SCRIPT AKAFUNDISHWA KUSEMA ASIJUE KWAMBA ANAOKUTANA NAO SIYO BONGO MOVIE NI WASOMI WANAOJUA KAZI YAO.
TATIZO KUBWA LA HAKA KATOTO NI KAONGO KAONGO TU, HUWEZI KUKAAMINI KWA LOLOTE.
MFANO, KUKATAA KWAMBA HAKUWA NA UHUSIANO NA MAREHEMU KOMBA WAKATI SISI NI MASHAHIDI HATA ALIVYOKUWA AKIMFUATA HADI MBINGA KULE, NA KANAWEKWA HOTELINI TUNAFAHAMU BILA HAYA KANAKUWA NA YULE MZEE HADHARANI. LEO KANASEMA HAKAKU DATE NAYE. KASHENZI TU! UMALAYA UMEKAJAA!
Daaah umeongea point aiseee....nmekuelewa sanaSawa, inawezekana muongo, lakini muongokuhusu nini?
Inawezekana alikuwa naleseni ya bandia, akasemaalikuwa na leseni, akajishtukia leseni haikuwa halali, akachomoa, akadanganya kuhusu leseni.
Hilohalimaanishi kadanganya kuhusu kuua.
Kwamba kakataa alikuwa namahusiano na Komba inawezekana anadanganya, huyu mtoto mdogo, Komba mtu mzima alikuwa na mkewe na watoto wakubwa kuliko Lulu. Sasa msichana kama Lulu akikataa ukweli kwamba alikuwa na uhusiano na jibaba inawezekana anadanganya, lakini je, kudanganya kuhusu uhusiano huo kunamaanisha kwamba yeye ni muuaji?
Ningeona contradiction ina nguvu zaidi kamaingeweza kuhusishwa moja kwamoja na kesi ya mauaji, siyo habari za kumharibia character tu. Mtu yeyote ukimuweka katika microscope utakuta mapungufu, huyu ana mchepuko, huyu hajalipa kodi, huyu anampiga mkewe,huyu mlevi mbwa, lakini, kama tunazungumziakesi ya mauaji, kitu muhimu ni ushahidi wa kesi ya mauaji, si hizi habari nyingine. Unless zinaingia moja kwa moja katikakesi ya mauaji.
Kama Kanumba angefariki katika ajali ya gari ambalo Lulu alikuwa anaendesha, hapo habari za leseni ya Lulu ingekuwa very relevant.
Lakini haikuwa ajali ya gari,suala la leseni ya Lulu linakuja vipi? Sisemi kwamba halihusiki, inawezekana linahusika (sijafuatilia kesi kwa karibu). Ningependa kujua tu, linahusikaje?
Ukimchukua mtu yeyote na kuanza kumdai risiti za nguo zake zote alizonunua katika miak 10iliyopita,utakuta kuna nguo kibao hana risiti.
Je,hilo linatosha kusema huyu ni mkwepa kodi na hivyo anawez akuua tu?
Nadhani wanajaribu kuestablish umri wake wakati wa tukio... kuna contradictions hapo anadai alikua minor while alimiliki leseni ( kigezo ni 18+ yrs) and wakimkosa hapo kuna party alifanya ya kujipongeza kufikisha 18 yrs kabla ya kanumba kufariki.... all in all wanaandaa mazingira incase akikutwa na hatia jukumu itolewe kama adult na zile advantage za uminor azikose.Sawa, inawezekana muongo, lakini muongokuhusu nini?
Inawezekana alikuwa naleseni ya bandia, akasemaalikuwa na leseni, akajishtukia leseni haikuwa halali, akachomoa, akadanganya kuhusu leseni.
Hilohalimaanishi kadanganya kuhusu kuua.
Kwamba kakataa alikuwa namahusiano na Komba inawezekana anadanganya, huyu mtoto mdogo, Komba mtu mzima alikuwa na mkewe na watoto wakubwa kuliko Lulu. Sasa msichana kama Lulu akikataa ukweli kwamba alikuwa na uhusiano na jibaba inawezekana anadanganya, lakini je, kudanganya kuhusu uhusiano huo kunamaanisha kwamba yeye ni muuaji?
Ningeona contradiction ina nguvu zaidi kamaingeweza kuhusishwa moja kwamoja na kesi ya mauaji, siyo habari za kumharibia character tu. Mtu yeyote ukimuweka katika microscope utakuta mapungufu, huyu ana mchepuko, huyu hajalipa kodi, huyu anampiga mkewe,huyu mlevi mbwa, lakini, kama tunazungumziakesi ya mauaji, kitu muhimu ni ushahidi wa kesi ya mauaji, si hizi habari nyingine. Unless zinaingia moja kwa moja katikakesi ya mauaji.
Kama Kanumba angefariki katika ajali ya gari ambalo Lulu alikuwa anaendesha, hapo habari za leseni ya Lulu ingekuwa very relevant.
Lakini haikuwa ajali ya gari,suala la leseni ya Lulu linakuja vipi? Sisemi kwamba halihusiki, inawezekana linahusika (sijafuatilia kesi kwa karibu). Ningependa kujua tu, linahusikaje?
Ukimchukua mtu yeyote na kuanza kumdai risiti za nguo zake zote alizonunua katika miak 10iliyopita,utakuta kuna nguo kibao hana risiti.
Je,hilo linatosha kusema huyu ni mkwepa kodi na hivyo anawez akuua tu?
Unazijua Court Proceedings?Aisee! Lakini naona kama hayo maswali yalipaswa yaulizwe na Wakili wa JAMHURI, badala ya judges!
Dah....kumbe halikua swali rahisHapo wanaka ku establish the premise that, alipataje leseni wakati alidai kipindi kile alikuwa under 18!?
Mkuu katoto kamekukera sana
Lakini haikuwa ajali ya gari,suala la leseni ya Lulu linakuja vipi? Sisemi kwamba halihusiki, inawezekana linahusika (sijafuatilia kesi kwa karibu). Ningependa kujua tu, linahusikaje?
aaah wewe na huyo komba wako usituchoshe,yaani ulitaka lulu akubali? komba si ana familia yule? unajua masharti ya mchepuko wewe? ulitaka akubali ili iweje? ili aseme ulikuwa nae .? upate kiki ama?Tatizo lake kalianza umalaya kakiwa kadogo sana.
Tatizo la pili kalikataa shule kakadhani ukahaba unalipa.
Tatizo kubwa kuliko yote maisha yake ni fake na kaongo sana, hata katika maisha ya kawaida.
Kukataa kwamba hakakumdate Marehemu KOmba ni mfano mmoja wapo ambao mimi nilishakuwa nako kule hotlini Komba laikuwa akikaweka, na kananifahamu hata kakiniona leo. Sasa uwongo uwongo huo, mtoto da namna hiyo, utamwamini kwa lipi?
Kweli Lulu haaminiki! Sanaa za kipumbavu nyingi.
aaah wewe na huyo komba wako usituchoshe,yaani ulitaka lulu akubali? komba si ana familia yule? unajua masharti ya mchepuko wewe? ulitaka akubali ili iweje? ili aseme ulikuwa nae .? upate kiki ama?
OK, hapo sasa waangalie records za vizazi na vifo, hospitali, traffic etc, huko prosecution inaweza kupata ushahidi tosha kwamba hizi rekodi za hospitali kazaliwa tarehe hii, hizi rekodi za vizazi na vifo kazaliwa siku hii, hizi rekodi za etc etc.Nadhani wanajaribu kuestablish umri wake wakati wa tukio... kuna contradictions hapo anadai alikua minor while alimiliki leseni ( kigezo ni 18+ yrs) and wakimkosa hapo kuna party alifanya ya kujipongeza kufikisha 18 yrs kabla ya kanumba kufariki.... all in all wanaandaa mazingira incase akikutwa na hatia jukumu itolewe kama adult na zile advantage za uminor azikose.