KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

Aman iwe nanyi wapendwa

Niko hapa mahakaman nikifatilia kwa karibu hii kes ya lulu

Moja ya vitu vinavyoniacha hoi ni maswali ya majaji wa hapa mahakam

Jaji lumanyika anaonekana kumukazia sana lulu tofaut na majaji wengine nahis huyu jaji atakuwa msukuma

Kamtwanga swali lulu kuhusu lesen ya gar lulu kasema alikuwa na lesen kipindi hicho

Akamurudia tena ieleze mahakama kama lesen yako ilikuwa halal, lulu akajichanganya akasema sikuwa na lesen

Mtanange bado unaendelea

Kwa kes ninanyoiona lulu lazima ale miala si chin ya kumi na tano

Bado niko hapa makaman mazee

LONDON BABY
Mbona Kama unashabikia
 
Lumanyika ni muhaya sio msukuma Mama Lulu ni Muhaya na Mama Kanumba ni Muhaya
 
Katikakesikamahii, kwa umri wa Lulu, upeo wake kielimu etc ningeshangaa sana asingejichanganya hata kidogo.

In fact ingeleta picha kama kawa coached.

Kwamba amejichanganya ni kitu ambacho nimetegemea.

Kujichanganay huko ni UTHIBITISO WA UWONGO!. MTU MWONGO SIKU ZOTE KUJICONTRADICT. ANGELIKUWA ANASEME UKWELI ANGE FLOW SAWA SAWA NA WANGELIONA HAKUNA MAHALA ANAJICHANGANYA.

KUJICHANGANYA KWAKE HASA NDICHO KINACHOTHIBITISHWA KWAMBA TAARIFA IMEANDIKWA KWENYE SCRIPT AKAFUNDISHWA KUSEMA ASIJUE KWAMBA ANAOKUTANA NAO SIYO BONGO MOVIE NI WASOMI WANAOJUA KAZI YAO.

TATIZO KUBWA LA HAKA KATOTO NI KAONGO KAONGO TU, HUWEZI KUKAAMINI KWA LOLOTE.

MFANO, KUKATAA KWAMBA HAKUWA NA UHUSIANO NA MAREHEMU KOMBA WAKATI SISI NI MASHAHIDI HATA ALIVYOKUWA AKIMFUATA HADI MBINGA KULE, NA KANAWEKWA HOTELINI TUNAFAHAMU BILA HAYA KANAKUWA NA YULE MZEE HADHARANI. LEO KANASEMA HAKAKU DATE NAYE. KASHENZI TU! UMALAYA UMEKAJAA!
 
Mushkeli ni Lulu kuendesha gari akiwa na umri chini ya miaka 18...
inaonyesha kama anaidanganya mahakama maana assumption ni aisngepata leseni akiwa under age..so waki clear la umri kesi ya msingi itasonga
Kwan sheria inaposema mtu chini ya 18 asiendeshe gar maana yake ni wenye umri chini ya 18 HATA WAKIJIFUNZA hawataweza kuendesha gari? Sheria haipo hivo, inawakatalia kibali tu (leseni). Ipo hivi....

Ukiona sheria imekataza kitu maana yake ni kwamba there is possibility to the contrary! Yam hakuna maana ya kua nasheria inayokataza mtoto kuendesha gari kama HATA IWEJE mtoto hataweza kuendesha gari.

Mtoto anapokatazwa kuendesha gari ni kwasababu nyingi: kwanza kumlinda yeye mwenyewe pili hawezi kuwajibika ipasavyo kutokana na yeye kuendesha gari.
 
Elimu nayo nadhani inachangia kujichanganya mara nyingi japo ata mwenye elimu pia anaweza kujichanganya ila mara chache.
Mi namuombea sana kwa MUNGU amuepushe na kifungo, kufungwa jela sio kitu kizuri kumuombea mtu. Naimani MUNGU atamsaidia na atakuja uraini kuendelea kutupa burudani kupitia kazi yake ya sanaa.
 
Ukifuatilia hayo maneno ni ya kupangwa yameachana sana lulu ana hatia ila namwombea asiwekWe jela tu
 
Kujichanganay huko ni UTHIBITISO WA UWONGO!. MTU MWONGO SIKU ZOTE KUJICONTRADICT. ANGELIKUWA ANASEME UKWELI ANGE FLOW SAWA SAWA NA WANGELIONA HAKUNA MAHALA ANAJICHANGANYA.

KUJICHANGANYA KWAKE HASA NDICHO KINACHOTHIBITISHWA KWAMBA TAARIFA IMEANDIKWA KWENYE SCRIPT AKAFUNDISHWA KUSEMA ASIJUE KWAMBA ANAOKUTANA NAO SIYO BONGO MOVIE NI WASOMI WANAOJUA KAZI YAO.

TATIZO KUBWA LA HAKA KATOTO NI KAONGO KAONGO TU, HUWEZI KUKAAMINI KWA LOLOTE.

MFANO, KUKATAA KWAMBA HAKUWA NA UHUSIANO NA MAREHEMU KOMBA WAKATI SISI NI MASHAHIDI HATA ALIVYOKUWA AKIMFUATA HADI MBINGA KULE, NA KANAWEKWA HOTELINI TUNAFAHAMU BILA HAYA KANAKUWA NA YULE MZEE HADHARANI. LEO KANASEMA HAKAKU DATE NAYE. KASHENZI TU! UMALAYA UMEKAJAA!
Sawa, inawezekana muongo, lakini muongo kuhusu nini?

Inawezekana alikuwa na leseni ya bandia, akasema alikuwa na leseni, akajishtukia leseni haikuwa halali, akachomoa, akadanganya kuhusu leseni.

Hilo halimaanishi kadanganya kuhusu kuua.

Kwamba kakataa alikuwa namahusiano na Komba inawezekana anadanganya, huyu mtoto mdogo, Komba mtu mzima alikuwa na mkewe na watoto wakubwa kuliko Lulu. Sasa msichana kama Lulu akikataa ukweli kwamba alikuwa na uhusiano na jibaba inawezekana anadanganya, lakini je, kudanganya kuhusu uhusiano huo kunamaanisha kwamba yeye ni muuaji?

Ningeona contradiction ina nguvu zaidi kama ingeweza kuhusishwa moja kwamoja na kesi ya mauaji, siyo habari za kumharibia character tu. Mtu yeyote ukimuweka katika microscope utakuta mapungufu, huyu ana mchepuko, huyu hajalipa kodi, huyu anampiga mkewe, huyu mlevi mbwa, lakini, kama tunazungumzia kesi ya mauaji, kitu muhimu ni ushahidi wa kesi ya mauaji, si hizi habari nyingine. Unless zinaingia moja kwa moja katika kesi ya mauaji.

Kama Kanumba angefariki katika ajali ya gari ambalo Lulu alikuwa anaendesha, hapo habari za leseni ya Lulu ingekuwa very relevant.

Lakini haikuwa ajali ya gari, suala la leseni ya Lulu linakuja vipi? Sisemi kwamba halihusiki, inawezekana linahusika (sijafuatilia kesi kwa karibu). Ningependa kujua tu, linahusikaje?

Ukimchukua mtu yeyote na kuanza kumdai risiti za nguo zake zote alizonunua katika miak 10 iliyopita, utakuta kuna nguo kibao hana risiti.

Je, hilo linatosha kusema huyu ni mkwepa kodi na hivyo anaweza kuua tu?
 
Back
Top Bottom