KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

baba hujaelewa..mushkeli upo kwenye kuwasha gari..
ni gari la nani?
kama ni lake basi alikua anaendesha akiwa chini ya miaka 18?
alikua na leseni ya udereva?
Kwani hata kama hakuwa na leseni au ilikuwa fraudulent inahusiana nini na kesi?
 
Swala la kuendesha gari bila ya kuwa na leseni au kuwa na leseni feki haina uhusiano na kesi anayokabiliwa ya mauaji unless Lulu angekua anaendasha gari uku kampakia kanumba alafu wakapata ajari kanumba akafa hapo sawa
 
Mushkeli ni Lulu kuendesha gari akiwa na umri chini ya miaka 18...
inaonyesha kama anaidanganya mahakama maana assumption ni aisngepata leseni akiwa under age..so waki clear la umri kesi ya msingi itasonga
Hata kama ameidanganya mahakama atahukumiwa kwa kuidanganya mahakama au kwa kesi yake ya manslaughter?
 
Kwa utetezi huu inaonyesha kiasi fulani ali plan kama self defence fulani.
utetezi mzuri, ukisoma hakuna mahali anasema alishikana na kanumba, hivyo alijifia mwenyewe. She did not set in mmotion the actions that caused his death! Najaribu ku imagine ukiwa unanikimbiza ukaanguka ukafa, sheria iansemaje?
 
Kwahiyo inawezekana wakaachana na kesi yake na kudeal ya kuendesha gari bila leseni?
 
Hii kesi,bora niwe mpenzi mtazamaji na msikilizaji anaejua ukweli ni lulu pekee ambae yuko hai,labda kama kamwambia mtu kama mama yake ambae hawezi sema lolote kinyume na mwanae.

Sina zaidi ya haki itendeke kila upande.
 
utetezi mzuri, ukisoma hakuna mahali anasema alishikana na kanumba, hivyo alijifia mwenyewe. Najaribu ku imagine ukiwa unanikimbiza ukaanguka ukafa, sheria iansemaje?
Tukumbuke pia judge sio poyoyo,mtu akilewa tu akakimbia uwezokano wa kuanguka upo ila sio kuanguka kwa kishindo kikubwa kiasi cha kupata brain concussion ikiwa sakafu haikulowa.
 
Aliwezaje kumiliki lessen ya kuendesha gari akiwa chini ya miaka 18? Ndo maana alipoulizwa na jaji akajichanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…