Kesi ya Mauaji ya George Sanga na wenzake yafutwa, waachiwa huru na kukamatwa tena

Kesi ya Mauaji ya George Sanga na wenzake yafutwa, waachiwa huru na kukamatwa tena

Sielewi hapo wameachiwa huru then wakakamatwa tena kesi ile ile ndo nini hicho?
 
Hiyo tafsiri ya Gaidi utaikuta ofisini kwa Kibatala 😂😂🔥
Chizi wewe kwani kibatLa ndiyo mtunga sheria? Tatizo lilianzia palepale ulipokuwa mpiga kelele maarufu darasani. Ona sasa unavyoropoka. Hata ukikuta kuku wanajamiana wewe mbio jf?
Hovyo kabisa wewe
 
Back
Top Bottom