Kesi ya Mbatia imenitia matumaini kidogo kuwa some judges kuwa independent

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Sikutegemea kutoka hukumu ya Mbatia kushinda maana by all angles mkono wa CCM ulikuwepo kuhakikisha mama Tanzania anabwagwa!
Kwa hukumu hii, naweza kurudisha imani by 30% haki kutendeka mahakamani! Bado hatujafika 50%!

Yanayofanywa na Mtungi ni ushetani mtupu!
 
Bado mnachezewa akili tu, mbatia arudi kwenye chama saiz ili afanye nn?!
Whatever the case kama hana cha kufanya au la, kikubwa cha mtoa mada ni kwamba bado kuna majaji wachache wanaweza kusimamia haki! Ndio hoja mengine fungulia uzi wake! Ndo mana mnafeli sana vijana, mnajibu msichoulizwa then mnasema mwalimu kakosea
 
kwani ni mzee? Mbatia is not a spent force at all! He can still make a difference, at least by making a partial contribution to the current struggle initiated by Chadema. For instance, let's say Sugu akaenda huko, being sponsored by Chadema, Mbatia atamkumbatia...... fikiri beyond in this hypothetical angle!
 
selasini kasema wanakata rufaa maana yake wanaachwa wakapoteze muda mahakamani
 
Whatever the case kama hana cha kufanya au la, kikubwa cha mtoa mada ni kwamba bado kuna majaji wachache wanaweza kusimamia haki! Ndio hoja mengine fungulia uzi wake! Ndo mana mnafeli sana vijana, mnajibu msichoulizwa then mnasema mwalimu kakosea
Exactly, that is what I meant. Huyu ni chawa anadandia hoja...
 
Sikutegemea kutoka hukumu ya Mbatia kushinda maana by all angles mkono wa CCM ulikuwepo kuhakikisha mama Tanzania anabwagwa!
Kwa hukumu hii, naweza kurudisha imani by 30% haki kutendeka mahakamani! Bado hatujafika 50%!

Yanayofanywa na Mtungi ni ushetani mtupu!
Ukimuona Jaji Tanzania sio independent ujue hana akili vizuri kichwani.

Katiba yetu pamoja na ubovu wake mwingi ila kwenye kuwawekea majaji immunity imejitahidi sana. Tanzania cheo cha Ujaji ndo cheo ambacho huwezi tolewa kizembezembe na Wanasiasa tena kisheria kabisa.

Majaji wote wangekuwa kama Jaji Samata au Mugasha au Rumanyika au Mwalusanya hii nchi ingekuwa mbali sana
 
Sikutegemea kutoka hukumu ya Mbatia kushinda maana by all angles mkono wa CCM ulikuwepo kuhakikisha mama Tanzania anabwagwa!
Kwa hukumu hii, naweza kurudisha imani by 30% haki kutendeka mahakamani! Bado hatujafika 50%!

Yanayofanywa na Mtungi ni ushetani mtupu!
Kwenye huku ya Mbatia dhidi ya Bodi ya udhamini ya Chama chake bado kunaweza kuwa na uhuni wa CCM. Kwanini hukumu ya kesi ndo kama ile ya tangu 2020 ndo itoke leo? Mimi naona harufu rafu za CCM. Kumbuka NCCR-Mageuzi wanataka kuwa serious na Uchaguzi huu, walishateua hadi Mgombea Urais na Msaliti Joseph Selasini alienda kumpindua Mbatia kwa tamaa ya madaraka alishajipachika kuwa Mgombea Mwenza wa Urasi mwaka huu 2025. nahusi ni kama wanapigwa AJWA ili waanze kuhangaika na rufaa maana baada ya hukumu ya jana NCCR Mageuzi haina tena mgombea wa Urais bali Mbatia ndiye mwenyekiti. hadi rufaa inatolewa uamuzi Oktoba hii hapa.
 
Ukimuona Jaji Tanzania sio independent ujue hana akili vizuri kichwani.

Katiba yetu pamoja na ubovu wake mwingi ila kwenye kuwawekea majaji immunity imejitahidi sana. Tanzania cheo cha Ujaji ndo cheo ambacho huwezi tolewa kizembezembe na Wanasiasa tena kisheria kabisa.

Majaji wote wangekuwa kama Jaji Samata au Mugasha au Rumanyika au Mwalusanyq hii nchi ingekuwa mbali sana
Na bado wanaogopa! Ndio maana nasema kila siku watanzania tumejengwa kwenye automatic obidience kuwa waoga tu kila mahali hata tunapokua na haki bado hatuamini ndo maana hata mkuu wa majeshi pamoja na masilaha yote na watu wa kutosha wa kazi na wanamuogopa pia, bado anaamini kwnye uchawa, no confidence! Mtu una immunity ya namna hii na bado unapindisha haki ufurahishe wanasiasa? Hujui waliotangulia kwa nini walikuwekea immunity ya namna hii? Pathetic
 
Kwenye huku ya Mbatia dhidi ya Bodi ya udhamini ya Chama chake bado kunaweza kuwa na uhuni wa CCM. Kwanini hukumu ya kesi ndo kama ile ya tangu 2020 ndo itoke leo? Mimi naona harufu rafu za CCM. Kumbuka NCCR-Mageuzi wanataka kuwa serious na Uchaguzi huu, walishateua hadi Mgombea Urais na Msaliti Joseph Selasini alienda kumpindua Mbatia kwa tamaa ya madaraka alishajipachika kuwa Mgombea Mwenza wa Urasi mwaka huu 2025. nahusi ni kama wanapigwa AJWA ili waanze kuhangaika na rufaa maana baada ya hukumu ya jana NCCR Mageuzi haina tena mgombea wa Urais bali Mbatia ndiye mwenyekiti. hadi rufaa inatolewa uamuzi Oktoba hii hapa.
Uko sahihi kabisa!
 
kwani ni mzee? Mbatia is not a spent force at all! He can still make a difference, at least by making a partial contribution to the current struggle initiated by Chadema. For instance, let's say Sugu akaenda huko, being sponsored by Chadema, Mbatia atamkumbatia...... fikiri beyond in this hypothetical angle!
Mbatia anaaminika? Magufuli alimdanganya akaona wapinzani wengine ni wajinga. Anyways kwenye hukumu bado kuna majaji ambao hawataki kutoa hukumu za kujidhalilisha japo ni wachache. By the way, Selasini kasema hukumu imeamuru warudie mchakato wa kumfukuza na siyo vinginevyo.
 
ngoja niisome
 
Attachments

Hukumu ya kesi ya Mbatia imekaa kimkakati wewe. Ili Majaji wakibariki maamuzi ya msajili kutowatambua akina Mnyika watu waweze kuseme unaona mahakama juzi iliamua hivi kwa Mbatia leo imeamua vile kwa akina Mnyika, kwa hiyo mahakama haipendelei wala haionei!

Zisome siasa za TZ between the lines.
 
Sikutegemea kutoka hukumu ya Mbatia kushinda maana by all angles mkono wa CCM ulikuwepo kuhakikisha mama Tanzania anabwagwa!
Kwa hukumu hii, naweza kurudisha imani by 30% haki kutendeka mahakamani! Bado hatujafika 50%!

Yanayofanywa na Mtungi ni ushetani mtupu!
Hiyo ni janja ya Dola,yaani tokea 2020 hukumu inatoka Leo,Kuna issue kubwa ya Chadema inakuja wanataka ionekane haki imetendeka kwa sababu wameshamaliza kuiua NCCR.
 
Sikutegemea kutoka hukumu ya Mbatia kushinda maana by all angles mkono wa CCM ulikuwepo kuhakikisha mama Tanzania anabwagwa!
Kwa hukumu hii, naweza kurudisha imani by 30% haki kutendeka mahakamani! Bado hatujafika 50%!

Yanayofanywa na Mtungi ni ushetani mtupu!
Lengo kuu la waanzisha kesi si kushinda kama tunvyodhani.Lengo ni kubugudhi akili za walengwa,kupotezea muda,malengo na kuwavuruga tu.
 
Back
Top Bottom