- Thread starter
- #21
akina nani?walengwa
akina nani?walengwa
hajaisoma,Mkuu hii ilisemwa na Selasini hivyo anaweza kuwa alijitetea bila kuelewa hukumu kwa undani.
Wakinzani wa CCM wanaofunguliwa mashtaka.akina nani?
"Mitungi-hire"!Au wamebadilisha siku hizi?mitungi ,kijijini kwenu inaitwaje
Mbatia ameshindishwa na hayo yatakuwa maelekezo maana mchezo wote wanaucheza wao.Sikutegemea kutoka hukumu ya Mbatia kushinda maana by all angles mkono wa CCM ulikuwepo kuhakikisha mama Tanzania anabwagwa!
Kwa hukumu hii, naweza kurudisha imani by 30% haki kutendeka mahakamani! Bado hatujafika 50%!
Yanayofanywa na Mtungi ni ushetani mtupu!
Ndugu Amani Nzugile Jidulamabambasi (RIP) aliwahi kumpindua Mzee Mapesa UDP. Mzee Mapesa akaenda mahakamani akashinda akarudishiwa chama chake ambacho anacho hadi leo.Sikutegemea kutoka hukumu ya Mbatia kushinda maana by all angles mkono wa CCM ulikuwepo kuhakikisha mama Tanzania anabwagwa!
Kwa hukumu hii, naweza kurudisha imani by 30% haki kutendeka mahakamani! Bado hatujafika 50%!
Yanayofanywa na Mtungi ni ushetani mtupu!