Kesi ya Mbatia imenitia matumaini kidogo kuwa some judges kuwa independent

Mbatia ameshindishwa na hayo yatakuwa maelekezo maana mchezo wote wanaucheza wao.
Labda wameona anaweza kuwa useful kwao kwa sasa as usual
 
Ndugu Amani Nzugile Jidulamabambasi (RIP) aliwahi kumpindua Mzee Mapesa UDP. Mzee Mapesa akaenda mahakamani akashinda akarudishiwa chama chake ambacho anacho hadi leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…