Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hizo nchi ulizotaja kama hayo mambo ya ndani yana kandamiza uhuru wa vyombo vya habari, haki za kibinadamu mabalozi wapo huru kusikiliza na kufanya maamuzi.Tumeamua kwenda na dunia inavyo enda.
Hivi kuna balozi wa Tanzania anayeweza kuhudhuria kesi inayo husu mambo ya siasa za ndani za USA ,UK, Sweden nk habari hiyo ikandikwa kwenye karatasi hata ya chooni? Hapa malimbukeni yana furahia na kukanyagana.