Kesi ya Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali yaanza kusikilizwa

Kesi ya Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali yaanza kusikilizwa

Mbowe akifanikiwa atoke aje na moango kabambe sio anakamatwa hivyo kama bata,na hata ikitokea amekamatwa aache msala wa maana utakaonanzishwa na wananchi ili badaye atoke kwa nguvu ya umma.
 
Wala hateseki,mnamlisha bure,kulala bure na kumpa political mileage.

Upumbavu na kukosa maarifa ni mzigo mzito sana
Unataka kusema nini hapa mkuu?

Kwamba akiendelea kukaa magereza ni faida zaidi kwake na kwa chama chake?

Kama ni ndio, kuna haja ya kumwomba judge aendelee kuahirisha kesi ili tupate mileage.
 
Unalinganisha gaidi alieua watu na maneno matupu ya hawa wanasiasa?Akili za wapi hizi?!

Unaijua sayansi ya kulinganisha vitu?Kajifunze kwanza sayansi ya kulinganisha vitu ndipo urudi hapa!
1630330145670.png

ANGALIA WALIVYOKONDA BAADA YA KULA HELA YA LOWASA WAKANENEPA ANGALIA MSIGWA DAAA HALAFU MBOWE AKAWAPIGA NA ZA SABODO ZA KUJENGA OFISI YAANI CHADEMA SIYO CHAMA NI GENGE LA WAHUNI TU
 
View attachment 1916663
ANGALIA WALIVYOKONDA BAADA YA KULA HELA YA LOWASA WAKANENEPA ANGALIA MSIGWA DAAA HALAFU MBOWE AKAWAPIGA NA ZA SABODO ZA KUJENGA OFISI YAANI CHADEMA SIYO CHAMA NI GENGE LA WAHUNI TU
Ni punguani peke yake ndiye anaweza kulinganisha gaidi aliefanya mauaji na wanasiasa.Nakushauri kuwa kuanzia leo badili ID yako kutoka Iboya2021 kuwa 'boya' ili isomeke sawasawa.
 
... naona Mahakama imejaa "ngozi nyeupe" tupu! Mwamba ni international figure Kusini mwa Jangwa la Sahara kuliko kiongozi mwingine yeyote wa kisiasa kwa nyakati zetu hizi!
Ungesema tu vizuri kuwa mwamba alitumwa na hawa jamaa.
 
Ni punguani peke yake ndiye anaweza kulinganisha gaidi aliefanya mauaji na wanasiasa.Nakushauri kuwa kuanzia leo badili ID yako kutoka Iboya2021 kuwa boya.
NYIE MBOWE ANAWAPUMULIA YAANI HATA AFANYE MAKOSA GANI MNAJITAHIDI SANA KUMSAFISHA INGAWAJE HASAFISHIKI
 
Unalinganisha gaidi alieua watu na maneno matupu ya hawa wanasiasa?Akili za wapi hizi?!

Unaijua sayansi ya kulinganisha vitu?Kajifunze kwanza sayansi ya kulinganisha vitu ndipo urudi hapa!
WATOTO WAKO UJUE WAKO HUMU JF WATAONA NI KIASI GANI WANA LIBABA BWABWA
 
Mbowe akifanikiwa atoke aje na moango kabambe sio anakamatwa hivyo kama bata,na hata ikitokea amekamatwa aache msala wa maana utakaonanzishwa na wananchi ili badaye atoke kwa nguvu ya umma.

Wananchi gani hao unaowaongelea?Hawa walio ongezewa tozo lkn wako zao kimya tu wanawaza mambo ya Manara?
 
AMESHAKUFA ANGEKUWA HAI TUNGEMUULIZA AIKUWA NA MAANA GANI SASA NYIE MNASHINDWA KUMUULIZA MBOWE HATA HELA YA SABODO ALIYOTOA KUJENGA OFISI ALIIPELEKA WAPI? NAYO MNAONA NI NGUMU?
Mbowe kafanya mambo gani mabaya?
 
Wadau wa Maendeleo wanastahili pongezi kwa kuwepo katika hali ya dhiki au faraja, huu ndiyo urafiki siyo China ambao urafiki wao ni wa SGR RELI MPYA.
 
Mission za CCM huwa zinafeli kishamba sana, walidhani wanamkomoa Mbowe kumbe wanaishtua jumuia ya kimataifa, wanajitutumua kurudisha mahusiano na wazungu ila kwa ujinga wao wanayabomoa tena.
Mission ya kwanza ya CCM ni kuongoza Nchi na maeneo mengine ya kiutawala hebu fanya kutathimini kama pia imefail hiyo mission
 
Back
Top Bottom