CCM hawana nguvu kama wanavyofikiria, huwezi kutawala kwa kuiba kura na kubambikia watu kesi kila siku, dawa ipo tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM hawana nguvu kama wanavyofikiria, huwezi kutawala kwa kuiba kura na kubambikia watu kesi kila siku, dawa ipo tayari
GAIDI ANAZIDI KUTESEKA TU NDIYO AKOME KUFANYA UGAIDI
Acha kudemka wewe na kuandika upumbavu. Gaidi hawezi kutoa kauli kama hizi.
Hilo jina lako nadhani lina maana kubwa sana. Huo uboya ni aheri ungeishia kwenye mwili, lakini kwa bahati mbaya umepanda kichwani.Yaani uchizi umewazidi Chadema yaani hao wazungu watatu tu ndiyo unasema wamefika kwa wingi? Mmeishiwa pozi mnategemea wazungu gaidi lazima ale mvua tu
Hivi lile onyo walipewa sasa itakuwaje
Watafungiwa balozi zao ama [emoji23]
Na bado, mwendo huo ni hadi ipatikane Katiba ya Wananchi.Haturudi kwenye Ujima tena sasa ni kidigitali tu.CCM hawaku anticipate hili suala kama kawaida yao ya slow learning.Hii kesii mabalozi wameishikia bango sana
Sijawahi kujibu maswali ya kijinga
CCM sio chama cha siasa ni kikundi cha wahuni kinachotawala kwa wizi wa kura ,polisi na usalama fakeNCHII HAIWEZI KUENDESHWA KWA KUWATEGEMEA MABALOZI
NDIO
CCM wakitoka shilingi yetu itapanda bila kujali misaada imeongezeka au la.
Mbowe sio Gaidi! Gaid ni yule ndugu yenu mlomuua majuzi pale Salander Bridge!
Tuondolee upumbavu wako hapa.
Wala hateseki,mnamlisha bure,kulala bure na kumpa political mileage.GAIDI ANAZIDI KUTESEKA TU NDIYO AKOME KUFANYA UGAIDI
Upumbavu wa mkoloni na ukoloni , wenzako wako ki maslahi wewe uko kujipendekeza kwa wazungu.Kabisa. Unajua tatizo la hivi vi-afrika vyenye dhamana ya uongozi vinadhani vyenyewe vina akili na uwezo kama Mungu! Vikipata madaraka kidogo tu vinajisahau na kujiona kama vina mamlaka ya kusema au kufanya lolote. Vijinga sana.
Wamewatisha lakini hawajatishikaKesi aliyoifungua Freeman Mbowe Mahakama kuu dhidi ya IGP, DPP na AG ya kupinga namna alivyokamatwa Mwanza na kupewa kesi ya uongo ya Ugaidi, imeendelea leo Mahakama Kuu na kuvuta lundo na wawakilishi wa Jumuiya ya Kimataifa, ama labda kuliko kesi yoyote ya namna hii iliyowahi kusikilizwa barani Africa.
Kama kuna aliyedhani haya mambo ni madogo basi anapaswa kufikiria upya.
Mungu ibariki Chadema