Kesi ya Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali yaanza kusikilizwa

Kesi ya Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali yaanza kusikilizwa

Kesi aliyoifungua Freeman Mbowe Mahakama kuu dhidi ya IGP , DPP na AG ya kupinga namna alivyokamatwa Mwanza na kupewa kesi ya uongo ya Ugaidi , imeendelea leo Mahakama Kuu na kuvuta lundo na wawakilishi wa Jumuiya ya Kimataifa , ama labda kuliko kesi yoyote ya namna hii iliyowahi kusikilizwa barani Africa

View attachment 1916588View attachment 1916590View attachment 1916587View attachment 1916586
Kumekucha. Gaidi mmoja kawafungulia Kesi magaidi wakuu 1000.
 
Asante kwa taarifa , Barikiwa mdau wangu wa ukweli! Lakini hapo kwenye heading ya thread, nafikiri uandishi sahihi ni KESI YA SERIKALI DHIDI YA MBOWE NA SIO KESI YA MBOWE DHID YA SERIKALI. Hii ni kutokana na ukweli kuwa ni Serikali ndo imemfungulia mbowe kesi na sio Mbowe aliyeifungulia serikali kesi!
Hapa kuna kesi mbili tofauti.
 
GAIDI LAZIMA ALE MVUA TU
Gaidi lilitokea CCM😁😁😁
2897668_IMG-20210825-WA0101.jpg
QAI3pMG.jpg
AQNUPo.jpg
2904506_IMG_0151.jpg
M2myW.jpg
 
YAANI UCHIZI UMEWAZIDI CHADEMA YAANI HAO WAZUNGU WATATU TU NDIYO UNASEMA WAMEFIKA KWA WINGI? MMEISHIWA POZI MNATEGEMEA WAZUNGU GAIDI LAZIMA ALE MVUA TU
Sawa Boya,wewe sindeye hakimu,he unajua maana ya uwakilishi,vipi kama wamewakilisha jumuia za kimataifa,Mfamo Eu,scandinavia,amerika.umeshatafakari uwezekano huo,he vipi kama picha nyingine hujabahatika kuziona.
 
Kule wanajisifu kurudisha mahusiano na wazungu huku wanabomoa, hakika nimeamini problems can not be solved by same level of thinking which created them.
 
Safi sana Mabalozi.

This is an indication that the world is against CCM.

Tuone sasa watawafanya nini.

Niwaambie tu, siku CCM ikitoka madarakani, misaada kutoka kwa Nchi Wahisani inaweza kuongezeka kwa asilimia 50 mpaka 100, na hata baadhi ya madeni tunaweza kusamehewa kabisa.

CCM wanaharibu sana hii nchi, na wanaligharimu sana Taifa hili na watu wake kwa kukosa busara,maarifa na hekima za kuongoza hii nchi.
sahihi
 
CCM ni genge la watu wachache ambalo linaikalia Tanzania ki mabavu.
 
Safi sana Mabalozi.

This is an indication that the world is against CCM.

Tuone sasa watawafanya nini.

Niwaambie tu, siku CCM ikitoka madarakani, misaada kutoka kwa Nchi Wahisani inaweza kuongezeka kwa asilimia 50 mpaka 100, na hata baadhi ya madeni tunaweza kusamehewa kabisa.

CCM wanaharibu sana hii nchi, na wanaligharimu sana Taifa hili na watu wake kwa kukosa busara,maarifa na hekima za kuongoza hii nchi.

doooh mpaka lini nchi itaendelea kwa misaaada
 
Back
Top Bottom