NCHII HAIWEZI KUENDESHWA KWA KUWATEGEMEA MABALOZIHahah mbona mataga pori umepanic namna hii??
Nani kasema wapi kuwa mabalozi watafanya nini?
By the way jana nimeona tamko la wizara, serikali ikilalamika Dermark kufunga ubalozi wao hapa Tz means serikali yako ya CCM inawahitaji sana hawa mabalozi kuliko wanavyokuhitaji wewe.