Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hizo nchi ulizotaja kama hayo mambo ya ndani yana kandamiza uhuru wa vyombo vya habari, haki za kibinadamu mabalozi wapo huru kusikiliza na kufanya maamuzi.Tumeamua kwenda na dunia inavyo enda.
Hivi kuna balozi wa Tanzania anayeweza kuhudhuria kesi inayo husu mambo ya siasa za ndani za USA ,UK, Sweden nk habari hiyo ikandikwa kwenye karatasi hata ya chooni? Hapa malimbukeni yana furahia na kukanyagana.
Hata mimi ukinidhulum sikuachi...hapa siyo suala la malezi...hapa ni dhulma unaipokeaje...Habari ya jioni Daudi
View attachment 1916579
Hata mimi ukinidhulum sikuachi...hapa siyo suala la malezi...hapa ni dhulma unaipokeaje...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabavicha yamedumaa kiakili!Kesi aliyoifungua Freeman Mbowe Mahakama kuu dhidi ya IGP, DPP na AG ya kupinga namna alivyokamatwa Mwanza na kupewa kesi ya uongo ya Ugaidi, imeendelea leo Mahakama Kuu na kuvuta lundo na wawakilishi wa Jumuiya ya Kimataifa, ama labda kuliko kesi yoyote ya namna hii iliyowahi kusikilizwa barani Africa.
Kama kuna aliyedhani haya mambo ni madogo basi anapaswa kufikiria upya.
Mungu ibariki Chadema
Ngozi nyeupe huwa inawazuzua sana bavicha... naona Mahakama imejaa "ngozi nyeupe" tupu! Mwamba ni international figure Kusini mwa Jangwa la Sahara kuliko kiongozi mwingine yeyote wa kisiasa kwa nyakati zetu hizi!
Haina hata haja ya kuwa gaidi.polisi wenyewe kama wale wa Hamza ,kabastola wanakwapuliwa SMG mbili na lone wolfGAIDI ANAZIDI KUTESEKA TU NDIYO AKOME KUFANYA UGAIDI
Zambia Rais mpya Alipochaguliw a, bthamani ya pesa yao ikapanda...... Toka USD 1 = Kwacha 22 mpaka USD 1 = Kwacha 15.Safi sana Mabalozi.
This is an indication that the world is against CCM.
Ngoja tuone watawafanya nini.
Niwaambie tu, siku CCM ikitoka madarakani, misaada kutoka kwa Nchi Wahisani inaweza kuongezeka kwa asilimia 50 mpaka 100, na hata baadhi ya madeni tunaweza kusamehewa kabisa.
CCM wanaharibu sana hii nchi, na wanaligharimu sana Taifa hili na watu wake kwa kukosa busara,maarifa na hekima za kuongoza hii nchi.
... kama lile zuzu la wanawake weupe au sio?Ngozi nyeupe huwa inawazuzua sana bavicha
Kwani Denmark yupo wapi??HATA WAKIENDA HAWANA LA KUIFANYA MAHAKAMA ITAKAVYOAMUA
IGP angetoa taarifa za uchunguzi watukio nzima ila kujua mbivu mbichi. Lakini najua na nina uhakika kuwa sio rahisi kutoa taarifa ile kwani wameipika ila inavyowatesa ndio maana inakuwa ngumu kuitoa!Habari ya jioni Daudi
View attachment 1916579
Acha kujifyatua ufahamu mkuuYAANI MNAJISUMBUA TU HAKUNA DUNIA INAYOWEZA KUISUMBUA TANZANIA WANA WACHORA TU NA GAIDI LENU MBOWE
Duh!!NCHII HAIWEZI KUENDESHWA KWA KUWATEGEMEA MABALOZI
umeona ehh yaani ni machizi haswa, akili kiduchuYaani uchizi umewazidi Chadema yaani hao wazungu watatu tu ndiyo unasema wamefika kwa wingi? Mmeishiwa pozi mnategemea wazungu gaidi lazima ale mvua tu
Ungekuwa na akili ningekushauri kitu! ila ndio basi tena!NCHII HAIWEZI KUENDESHWA KWA KUWATEGEMEA MABALOZI