Msudu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2021
- 1,050
- 1,705
Ameeen. Hakika atatenda wala hatakawia."Waja wake mola wapigapo magoti chini na kumlilia, bwana hutenda." -- Askofu Shoo.
Bwana atatenda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameeen. Hakika atatenda wala hatakawia."Waja wake mola wapigapo magoti chini na kumlilia, bwana hutenda." -- Askofu Shoo.
Bwana atatenda.
Aisee we jamaa jaribu hata siku moja kuacha kuonesha ujinga wako hadharanMaskini mnajipa moyo na gaidi wenu
USSR
Geleza halina uzoefu ndugu ila kinachotakiwa ni kuamini unachokiamini hata kwa ncha ya upanga...Mbowe amekuwa mzoefu gerezani.
Ila Mimi nilikaa siku 5 nikaona nimekaa miaka 5.tena hapo mahabusu
UVCCM watasema inaashiria kuwa ni gaidi kweliHii body language ya Mbowe anaonekana kuwa stronger than ever, tabasamu... ile misamaha ya kulazimishana kisiasa hata sioni maana yake.
Wapumbavu ni wengi saana hii Dunia. Upumbavu hauna ghalama.Maskini mnajipa moyo na gaidi wenu
USSR
Ni kajanja au kanafiki?Mbowe ni mwamba wa siasa za nchi hii...kilichotokea majuzi kime backfirena ni aibu kubwa.
Mbowe is not that cheap..hako ka mjamaa ka kigoma bado hakajamjua vzr mbowe pamoja na kufanya naye kazi miaka kibao.
Kajanja kenyewe..hakajawahi hata kushikwa Tanganyika jeki...kanajua kula na kupuliza.
Kwahiyo mbowe na Hamza wa ccm ni sawa?Maskini mnajipa moyo na gaidi wenu
USSR
Mbona umepanic sana bila sababu 😂Hahahah gaidi analia na wanaolia wapuuzi wasiojua UTAWALA wa sheria
Yule mbibi ana roho mbaya zaidi ya mwendazake, mbaya zaidi madaraka yameshamlevya sasa tunamuachia Mungu tuone kama nae atamaliza muda wakeHii kesi inaichafua Tanzania, Africa na wasomi wote waliopo ndani ya Bara la Africa,Rais aifute kesi hii na aombe msamaha!
Halafu anashika msahafu kusema uongoYule mbibi ana roho mbaya zaidi ya mwendazake, mbaya zaidi madaraka yameshamlevya sasa tunamuachia Mungu tuone kama nae atamaliza muda wake
Au waweza kumwita Mtemi IsikeKwamba Laigwanan, Aboubakar Mbowe kapokea ugeni mzito huu mahakamani:
View attachment 2051515
Kwa hakika mtenda mema hajifichi.
Tunayo mengi ya kujifunza kutoka kwa mja wake mola huyu.
Eeh mola wetu umpishilie mbali mabalaa yote mtumishi wako huyu.
Hata tutakopoonana naye tena - ndugu yetu huyu katika mapambano, akiwa huru na buheri wa afya.
Gaidi ni mama yako mzazi,kwa kufanya umalaya hadi kwenda leba kuzaa toto shenzi taipu Kama weweMaskini mnajipa moyo na gaidi wenu
USSR
Yule ni kafirHalafu anashika msahafu kusema uongo
Matendo Makuu ya MunguKwamba Laigwanan, Aboubakar Mbowe kapokea ugeni mzito huu mahakamani:
View attachment 2051515
Kwa hakika mtenda mema hajifichi.
Tunayo mengi ya kujifunza kutoka kwa mja wake mola huyu.
Eeh mola wetu umpishilie mbali mabalaa yote mtumishi wako huyu.
Hata tutakopoonana naye tena - ndugu yetu huyu katika mapambano, akiwa huru na buheri wa afya.