- Thread starter
- #61
Mwanachadema kindakindaki Sana huyu bwana. Mtu makini sana kuliko maccm 1000
Habari mbaya sana hiyo kwa yale majamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanachadema kindakindaki Sana huyu bwana. Mtu makini sana kuliko maccm 1000
Unasemaje jombaa?
Nani kabambikiwa kesiNakusalimia kwa jina la JMT ndugu yangu.
Huko uliko haina maana ndiyo tushikiane mashoka:
"Upinzani si ugomvi wala uadui hadi kufikia kubambikiziana kesi."
Au nasema uongo ndugu yangu?
Tatizo letu tuna AMINI kwamba MWENYEZIMUNGU yupo na kwake ni marejeo yetu.Tuna amini kwake HAKI itapatikana,tuna amini yeye ni MFALME wa WAFALME na ni HAKIMU wa MAHAKIMU na atakalo yeye huwa.Maskini mnajipa moyo na gaidi wenu
USSR
Nani kabambikiwa kesi
Hujajibu swaliWenzako huuliza maswali. Wewe wauliza majibu?
Hiiiiii bagosha!
Hujajibu swali
Kasamehe bure tu hakajui kuwa hakajuiNina uhakika within five days utamfuata Jiwe, làbda ufute upuuzi wako huo. Mungu hamfichi mnafiki
Hata hujielewiTunajibu maswali, lako si swali ni jibu!
Hata hujielewi
Anavimba ameshajiona Mungu Mtu wa Kuombwa misamahaYule mbibi ana roho mbaya zaidi ya mwendazake, mbaya zaidi madaraka yameshamlevya sasa tunamuachia Mungu tuone kama nae atamaliza muda wake
Anavimba ameshajiona Mungu Mtu wa Kuombwa misamaha