Kesi ya Mbowe: Faraja iliyoje kupokea ugeni Mzito

Kwamba Laigwanan, Aboubakar Mbowe kapokea ugeni mzito huu mahakamani:

View attachment 2051515

Kwa hakika mtenda mema hajifichi.

Tunayo mengi ya kujifunza kutoka kwa mja wake mola huyu.

Eeh mola wetu umpishilie mbali mabalaa yote mtumishi wako huyu.

Hata tutakopoonana naye tena - ndugu yetu huyu katika mapambano, akiwa huru na buheri wa afya.
Hawa akina Mbowe kweli wako Mahabusu au Hotel? Mbona wanang'aa sana
 
Nchi

Hata tutakopoonana naye tena - ndugu yetu huyu katika mapambano, akiwa huru na buheri wa afya

Kwamba Laigwanan, Aboubakar Mbowe kapokea ugeni mzito huu mahakamani:

View attachment 2051515

Kwa hakika mtenda mema hajifichi.

Tunayo mengi ya kujifunza kutoka kwa mja wake mola huyu.

Eeh mola wetu umpishilie mbali mabalaa yote mtumishi wako huyu.

Hata tutakopoonana naye tena - ndugu yetu huyu katika mapambano, akiwa huru na buheri wa afya.
Safi sana,
Mimi huwa najiuliza nchi hii ina wazee waliowahi kuwa viongozi wakubwa tu serikalini tangu enzi za Mwalimu,
Butiku,Walioba na wengine,kwanini Hawa wazee hawatoki na kusema ukweli kwamba hii kesi ni mchongo na ni ya kubambikwa?hawa wazee na familia zao,wananufaika sana na nchi hii,ni wansfiki wakubwa,wanaona kabisa madhila yanayofanywa na huu utawala,lakini hawasemi kitu.
 
Yule mbibi ana roho mbaya zaidi ya mwendazake, mbaya zaidi madaraka yameshamlevya sasa tunamuachia Mungu tuone kama nae atamaliza muda wake

Kama zilivyokuwa za mwizi, beberu anasema "for every dog has his day."
 
Nchi

Safi sana,
Mimi huwa najiuliza nchi hii ina wazee waliowahi kuwa viongozi wakubwa tu serikalini tangu enzi za Mwalimu,
Butiku,Walioba na wengine,kwanini Hawa wazee hawatoki na kusema ukweli kwamba hii kesi ni mchongo na ni ya kubambikwa?hawa wazee na familia zao,wananufaika sana na nchi hii,ni wansfiki wakubwa,wanaona kabisa madhila yanayofanywa na huu utawala,lakini hawasemi kitu.

JK kama rais mstaafu kwa mustakabala mwema wa taifa hili hakupaswa kulinyamazia hili:

IMG_20211211_233507_327.jpg
 
Hawa akina Mbowe kweli wako Mahabusu au Hotel? Mbona wanang'aa sana

Dhima waliyojipa serikali ya kuwashikilia ni kubwa kuliko wangewaachia huru.

God forbid! Fikiria lolote baya likiwatokea. Pata kalika hapa?
 
Hii dhambi inayofanywa na ccm kwa watu wanaoishinda kwa hoja ni mbaya sana na laana kwao na familia zao!
Ukatili huu hadi katili shetani mmempita! Mnajua kuna kifo? Mnajua kuna hukumu kwa huu uchafu na ukatili wenu?
 
Walisema shibe ni mwana malevya ..
 
Back
Top Bottom