Kesi ya Mbowe: Faraja iliyoje kupokea ugeni Mzito

Mbowe ni mwamba wa siasa za nchi hii...kilichotokea majuzi kime backfirena ni aibu kubwa.
Mbowe is not that cheap..hako ka mjamaa ka kigoma bado hakajamjua vzr mbowe pamoja na kufanya naye kazi miaka kibao.
Kajanja kenyewe..hakajawahi hata kushikwa Tanganyika jeki...kanajua kula na kupuliza.
 
Mbowe amekuwa mzoefu gerezani.
Ila Mimi nilikaa siku 5 nikaona nimekaa miaka 5.tena hapo mahabusu
 
Mbowe amekuwa mzoefu gerezani.
Ila Mimi nilikaa siku 5 nikaona nimekaa miaka 5.tena hapo mahabusu
Geleza halina uzoefu ndugu ila kinachotakiwa ni kuamini unachokiamini hata kwa ncha ya upanga...

Sababu Mbowe hana shida yoyote when comes to financial status, sasa watu wajinga watadhani anahangaikia nini huyu baba.

Kwenye hili la kuamini unachokiamniki katika watu mil 2 unaweza pata wawili tu.

Lissu he is my list as well.
 
Hii body language ya Mbowe anaonekana kuwa stronger than ever, tabasamu... ile misamaha ya kulazimishana kisiasa hata sioni maana yake.
UVCCM watasema inaashiria kuwa ni gaidi kweli
 
Hovyo kabisa hii nchi...

Gaidi sura yake haina huzuni kabisa...
 
Ni kajanja au kanafiki?
 
Au waweza kumwita Mtemi Isike
 
Matendo Makuu ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…