Kesi ya Mbowe: Faraja iliyoje kupokea ugeni Mzito

Unasemaje jombaa?

Nakusalimia kwa jina la JMT ndugu yangu.

Huko uliko haina maana ndiyo tushikiane mashoka:

"Upinzani si ugomvi wala uadui hadi kufikia kubambikiziana kesi."

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Nakusalimia kwa jina la JMT ndugu yangu.

Huko uliko haina maana ndiyo tushikiane mashoka:

"Upinzani si ugomvi wala uadui hadi kufikia kubambikiziana kesi."

Au nasema uongo ndugu yangu?
Nani kabambikiwa kesi
 
Anavimba ameshajiona Mungu Mtu wa Kuombwa misamaha

Ukisikia Udom wamemaliza kufanya vitu vyao tayari ni Doc usiseme JF kuna manabii.

Alipo anashangaa ni vipi hatumwoni alivyo kiongozi mahiri 😁😁.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…