Kesi ya Mbowe: Hadi sasa sijaona ushahidi wowote unaoonesha kulikuwa na ugaidi

Hata walete mashahidi 1000 kama ni wa kuunga unga itakuwa hamna kitu.
 
Hahahah mashahidi wasio na ushahidi🤣🤣🤣
 
Shahidi anasema saini zinatofautiana kwasababu zingine alisaini akiwa amesimama zingine akiwa amekaa.

Mwingine anasema hakumbuki rangi ya shati maana hakuvaa miwani lkn aliweza kuona rangi ya bastola na kusoma namba zake.[emoji23]
 
Takribani mashahidi wanne hadi sasa wameshatoa ushahidi wao lkn kati ya hao wote sijaona ushahidi wenye nguvu ya kuwatia hatiani watuhumiwa wa ugaidi.
Shahidi mwingine anasema watuhumiwa walipanga kulipua vituo vya mafuta, kukata miti, kupulizia viongozi sumu na kuua viongozi, walipoulizwa mliwakuta na vilipuzi hakuna, mapanga au shoka za kukatia miti hakuna, kuna vituo vya mafuta vilivyolipuliwa hakuna, kuna kiongozi kauawa hakuna.[emoji23]
[emoji23]
 
Huyu mama tunaheshimu utu wake na mamlaka aliyopewa lakini kupwaya ni kukubwa.
 
mama yuko under blackmail. Sio yeye
 
Takribani mashahidi wanne hadi sasa wameshatoa ushahidi wao lkn kati ya hao wote sijaona ushahidi wenye nguvu ya kuwatia hatiani watuhumiwa wa ugaidi.
Alafu shahidi wa tano anatoa siri za mteja bila ya kuambiwa kosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…