Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,416
Hadi unatia huruma. Hiyo laini ya simu iliyotuma hela wewe ndio ulimsajilia? Unajua unaweza kuwa fala lakini ukiwa mtulivu, wachache sana watajua wewe ni fala ila fala akiwa kama ulivyo wewe, kila mtu atajua tu wewe ni fala.Hizo pesa alizotuma hachomoki, technology ni kitu nyingine.
Hahahaha huogopi maswali ya wakili msomi kibatala na jopo lake?Hivi hawa mashahidi si wanalipwa na Jamhuri?
Mwenye koneksheni basi na mimi nikale hela hizo kwa kusema uongo
Mashahidi wanaanzaga kwa kujiamini sana hasa wanapoongelea ujuzi wao, kama yule askari mtaalamu wa ballistic, alisema amesoma ndani na nje nchi nyingi sana lkn alipobanwa maswali na kina kibatala akasahau utaalam wake akasema terrorism ni mambo ya utalii.Ujue haifurahishi hata kidogo yaani mashahidi wote hakuna hata mmoja aliyeleta ushahidi wenye mashiko badala yake wamegeuka kuwa komedian...
Shahidi anasema saini zinatofautiana kwasababu zingine alisaini akiwa amesimama zingine akiwa amekaa.
Mwingine anasema hakumbuki rangi ya shati maana hakuvaa miwani lkn aliweza kuona rangi ya bastola na kusoma namba zake.[emoji23]
Vyeti vya kudesa. Polisi wana tatizo la vyeti wanavyo tumia sio vyao. Yaani form four leaver hajui maan aya terrorism na tourism?? Bado anaitwa ofisa wa serikali...Neno ugaidi na matukio ya kigaidi hayajaeleweka vizuri nchini! Ndo maana wengine wanashindwa kutofautisha tourism, terrorist na terrorism!
Ni dhahiri kuwa ile kauli ya SSH inaitesa mahakama, mashahidi na watuhumiwa!
Huu ni ukweli tupuMajaji wa maigizo wataendelea na maagizo kutoka muhimili mwingine
Ufanyike uhakiki polisi na magereza.Vyeti vya kudesa. Polisi wana tatizo la vyeti wanavyo tumia sio vyao. Yaani form four leaver hajui maan aya terrorism na tourism?? Bado anaitwa ofisa wa serikali...
Hapo najipatia pesa ya bure sitajali ugumu au wepesi wa maswaliHahahaha huogopi maswali ya wakili msomi kibatala na jopo lake?
Hawa majaji hawaaminiki,Hata Jaji alimshangaa
Takribani mashahidi wanne hadi sasa wameshatoa ushahidi wao lakini kati ya hao wote sijaona ushahidi wenye nguvu ya kuwatia hatiani watuhumiwa wa ugaidi...
Kwani kina Kibatala na Mtobesya wanatetea mitandaoni.Ongezeni mbinu za utetezi mahakamani badala ya kujaribu kupata huruma mitandaoni
Yes namna hii ni sawa... Vita halisi iko court room lakini twita na jf ni changamsha kijiwe tuKwani kina Kibatala na Mtobesya wanatetea mitandaoni.
Mtobesya: Mheshimiwa Jaji Shahidi hana Maelezo katika Kifurushi cha Comito...
Alishasema kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja.Mpaka leo bado sijaelewa lengo mahsusi la yale mahojiano kati Salim Kikeke na huyu Mama! Na wakati huo huo mchakato wa kesi ukiwa unaendelea mahakamani.
The way alivyokuwa anajieleza mbele ya camera siku ile! Namna alivyo elezea kwa kujiamini!, na ukija kwenye uhalisia! unaona kabisa aina ya Mtawala tuliye naye.
Badala ya risasi 36 huyu wangemlipua kwa bomu kabisa angebaki majivu tuAngekuwa ni gaidi magufuli asingemuacha
Kutuma pesa ni ugaidi?Hizo pesa alizotuma hachomoki, technology ni kitu nyingine.
La muhimu kwenye kesi feki si mashahidi bali jaji. Laiti Jamhuri wangekuwa na nia ya kuachana na kesi hii ingeshafutwa kitambo. Plan is kumfunga Mbowe kisha Samia atoe msamaha kama ule wa kwa UAMSHO ikidhaniwa atapata political mileage.Takribani mashahidi wanne hadi sasa wameshatoa ushahidi wao lakini kati ya hao wote sijaona ushahidi wenye nguvu ya kuwatia hatiani watuhumiwa wa ugaidi...