Kesi ya Mbowe: Hadi sasa sijaona ushahidi wowote unaoonesha kulikuwa na ugaidi

😲
 
La muhimu kwenye kesi feki si mashahidi bali jaji. Laiti Jamhuri wangekuwa na nia ya kuachana na kesi hii ingeshafutwa kitambo. Plan is kumfunga Mbowe kisha Samia atoe msamaha kama ule wa kwa UAMSHO ikidhaniwa atapata political mileage.
Uko sahihi Adamu Kasekwa pamoja na kuonyesha makovu alivyoteswa Jaji akaja kusema hakuna aliyeteswa.
 
Jaji anapouliza nanyi Jamhuri mna lolote huwa nacheka sana...ni kama jamhuri ya Kosovo sio Tanzania yaani tumefikia kuwa na bongo ndogo kiasi kile inasikitisha sana kwa kweli...
 
Ni kosa kwa kiongozi kuongelea mambo yalio mahakamani ni kama vile Ramaphosa ahojiwe makosa ya Zuma haitakuja kutokea akasema ana makosa mpaka mahakama ndio zithibitishwe sasa huku kwetu uteuzi wa Jaji katikati ya kesi unategemea nini hapo...huyu mwingine usishangae akiteuliwa ubalozi akaja Jaji mwingine tena...Nchi ya ajabu sana hii na ukiangalia mwenendo wa hii kesi inahakisi uwezo wetu wa akili ulipogota..
 
Hadi unatia huruma. Hiyo laini ya simu iliyotuma hela wewe ndio ulimsajilia? Unajua unaweza kuwa fala lakini ukiwa mtulivu, wachache sana watajua wewe ni fala ila fala akiwa kama ulivyo wewe, kila mtu atajua tu wewe ni fala.
Kwa ajili ya haraka wamesahau hata jina na saini la aliemsajilia line.
 
Kama wewe ndiye Jaji anayesikiliza kesi basi sawa!
 

Mawakili wa utetezi na washitakiwa watakuwa wana tumia nguvu kubwa sana kuvumilia faulo za wazi wanazofanyiwa kwenye mapingamizi.
 
Kweli kabisa Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…