Kesi ya Mbowe: Hadi sasa sijaona ushahidi wowote unaoonesha kulikuwa na ugaidi

Very brief summary nimekupenda bure kutoa mwenendo wa kesi ulivyo
 
Vyeti vya kudesa. Polisi wana tatizo la vyeti wanavyo tumia sio vyao. Yaani form four leaver hajui maan aya terrorism na tourism?? Bado anaitwa ofisa wa serikali...
Mie nilitaraji kungekuwa na network ya ndani na nje ya nchi watu mpango mzima wa ungizwaji silaha unaomuhisisha mshtakiwa wa nne na wengine moja kwa moja
Lakini kinachofanyika km ni ku build evidence basi tutarajie mashahid elf mbili
 
Kibatala: Je Ulimwambia Mheshimiwa Jaji Kwamba Morogoro Vituo gani kwamba vinatakiwa Kulipuliwa

Shahidi: Kimyaaaaaaaaaa

Kibatala: Je Ulimwambia Mheshimiwa Jaji Kwamba Maandamano yalitakiwa kufanyika Wapi Mkoa wa Morogoro

Shahidi: Si kumwambia
 
Mpaka sasa upande wa mashtaka wana mashahidi 12, katika wote waliotoa ushahidi mahakamani hasa ikizingatiwa shahidi huyu aliyepita Lut Denis Urio ndiye alikuwa Kiungo muhimu kuliko wote kubeba maamuzi ya kesi naye kaharibu na kuvurunda kabisa. Mpaka sasa kwakweli siioni "Angle" ya yeyoteya kisheria kumfunga Mbowe kwa Ugaidi kupitia ushahidi huu. Hiki kitu hakionekani kabisa.

Labda wamfunge kwa kulazimisha, kwa uongo, kwa maagizo ya kisiasa, lakini kwa angle ya kisheria hakuna kitu kama hicho. Kumfunga kisiasa ni kawaida sana na imewatokea wanasiasa wengi, na ikiwa itatokea akafungwa kisiasa kwa Pressure ya Kikundi flani cha watu wenye kuona raha yeye akiwa anateseka, I swear to God CCM ina muda mfupi mno, tutabisha lakini laana ya hii kitu itaimaliza CCM. 2025 CCM wasifikiri ndio Mbowe akifungwa itakuwa Raha yao kuingia madarakani tena. Time will tell, ngoja wamfunge tuone.
 
Mi nlijua utatoa mchanganuo wa kisheria na citations.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…