Kesi ya Mbowe: Haki Haikuonekana Kutendeka

It's not about taking sides here, it's all about what the law just say.

Kesi ya Zombe ilikuwa ya ugaidi? if not Jaji Siyani ataikataa pia.

Legal disputes aren’t algebra problems. If they were, then all court decisions would be written in stone.

A great deal of judgment is involved in resolving legal disputes. Different lawyers sometimes can mean different conclusions. That’s why you’re rejecting the judge’s decision in the first place!
 
Kwangu mimi hukumu imetimiza matakwa yote ya kisheria (ukarasa 10-13) kama umeweza kuifungua

Sasa umeambatanisha.

Asante. Hata hivyo ungeweka written submissions za pande zote mbili ingependeza zaidi.

Nevertheless tutakurejea.
 
Mkuu, kwa nini tuna case laws? Nilipokutajia kesi ya Zombe nilidhani ungeniuliza material facts ambazo ni relevant kwenye kesi ya Mbowe! Sasa kuniuliza kuwa kama kesi ya Zombe ilikuwa ya ugaidi sijakuelewa kabisa.
It's not about taking sides here, it's all about what the law just say.

Kesi ya Zombe ilikuwa ya ugaidi? if not Jaji Siyani ataikataa pia.
 
Hata hujanielewa, nimesema jaji anatakiwa kufuata sheria kwenye kufanya maamuzi yake na asiache any doubt kwa jamii.

Unasema hayo maoni maoni yangu yanasukumwa na siasa ipi? kudai haki kwako ndio siasa?

Vipi yule jaji aliepandishwa cheo katikati ya kazi aliyokuwa akifanya, maamuzi yake hayakuja kama shukrani kwa mwanasiasa? na kwa muktadha huo nikisema hukumu yake ilikuwa ya kisiasa nitakuwa nakosea?

Think.
 
Mkuu, kwa nini tuna case laws? Nilipokutajia kesi ya Zombe nilidhani ungeniuliza material facts ambazo ni relevant kwenye kesi ya Mbowe! Sasa kuniuliza kuwa kama kesi ya Zombe ilikuwa ya ugaidi sijakuelewa kabisa.
Nimekuuliza hivyo nikijua fika kuna kesi jaji aliikataa kwenye hukumu yake toka kwa mawakili wa utetezi sababu haikuwa ya ugaidi, sasa kwasababu unamtetea yule jaji, muhimu hilo swali ukamuulize jaji.
 

Niliweka hukumu kwenye mjadala huu unaoendelea. Tenda haki kuupitia ili uwe na uhalali wa kutoa maoni yako pasipo kusukumwa na hisia za kisiasa (maandishi mekundu).
 
Mkuu, basing on facts you have; unadhani ruling iliyotolewa kwenye hii trial withi a trial ilitakiwa kuwaje?
Mi sielewi, ina maana huyo shaidi alitoa statement ya kuwatia hatiani, ndo maana upande wa utetezi wanahaha kuweka pingamizi ili hiyo statement isitumike kwenye case,, kwani hawezi kuikana statement wakati case ikiendelea?, Kesi inadai mbowe gaidi,, swali alifanya ugaidi gani na wapi?,
Kama statement inadai alipanga kufanya,, endapo mshitakiwa atakana statement, mahakama itamla imisha? [emoji848][emoji848]
 
Based on facts:

"Testimony under duress cannot be used against anyone. This is natural."

Haihitaji shule kuliona hilo.
If so, even hata kesi ya msingi ikiendelea, mshitakiwa anaweza kuikana statement su si hivyo?
 
Lakini inaachia loophole ya Rufaa ku succeed hapo baadae,, so this could be delaying tactics all the way.. [emoji847][emoji847]
 
How come mawakili wa utetezi hawakuomba huyo lijenje na meja urio waletwe mbele ya mahakama?
 
Sijajua una maarifa ya kiwango gani kwenye taaluma ya sheria. Lakini ni jambo la kawaida kuupinga ushahidi ambao ulipatikana kwa kutumia nguvu/ mateso. Lakini mimi hoja yangu ya msingi ni tofauti na unayotaka wewe kuileta. Hoja yangu us purely based on legal reasoning, ya kwako naiona inauelekeo wa kiitikadi
 
Hata mimi niliona kama ushahidi wa Jamhuri una nyufa kadhaa zinazoleta mashaka, lakini nilishangaa jaji kusema ushahidi unafungamana. Lakini kwa vile judge anatoa hukumu kulingana anavyokuwa 'persuaded' na wakati mwingine anaweza kuwa 'persuaded in the wrong way' ndiyo maana kuna kukata rufaa na huwa tunaona baadhi ya rufaa jaji wa mahakama ya rufaa anaweza kusema jaji aliyetoa ruling was wrong etc.
 

Rufaa itakatwa lakini hiyo hakuondoi ukweli kuwa Jaji yuko upande wa prosecution. Jaji hatuko neutral.

Jaji kachukua ushahidi wa Kingai, Mahita na Msemwa at face value kuwa ni sahihi kama ulivyo.

Hakuzingatia lolote kutoka upande wa utetezi.
 
Lakini inaachia loophole ya Rufaa ku succeed hapo baadae,, so this could be delaying tactics all the way.. [emoji847][emoji847]

Ni kukosekana kwa nia njema. Nia njema isipokuwapo tegemea lolote. Ndiyo maana msimamo huu ni bora kabisa:



Yasemekana kuna majaji tokea wanakoita kitengo ambao pia wapo ndani kwenye pool.

Mambo ya awamu ya tano hiyo. Ripples hazitakwisha kesho.

Viva Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…