- Thread starter
- #121
brazaj ndiyo maana mwanzoni niliuliza je, kuna any procedural law or substantive law inayompa Jaji discretionary power to investigate issue ya Lijenje au Kpt. Urio? Tunaweza kuwa tunamlaumu Jaji kumbe tunachokitaka hakimo ndani ya sheria yoyote. Na ieleweke kuwa Judges decide cases according to the law. Na ndiyo maana husemwa kwamba haki kwa mujibu wa sheria. Mnaweza kuwa na sheria mbaya, lakini hizo sheria mbaya ndiyo zinazotumika mahakamani. Jaji hawezi kujitungia sheria yake.
Mimi natamani tu kujifunza, labda kuna any provision ambayo inampa Jaji uhuru wa kusema nataka Lijenje au Kpt. Urio aletwe mahakamani for further scrutiny of the facts so raised before the court
Kwani mkuu wewe umeelewa:
1. kwanini jaji ametupilia mbali pingamizi kuwa maelezo ya mshitakiwa yalitolewa nje ya muda?
(a) Kwa ushahidi upi?
(b) Kwa kifungu kipi cha sheria?
2. Kwanini jaji ametulipia mbali pingamizi kuwa mshitakiwa aliteswa?
(a) Kwa ushahidi upi?
(b) Kwa kifungu kipi cha sheria?
Kwani kuna hata haja ya ku beat around the bush?
"Wacha maneno, weka Muziki."