- Thread starter
- #81
Niliuliza tu ruling ilitakiwa iweje? Put aside these theories of natural justice we learn in the classroom.
Ruling ya haki hutegemea ushahidi na ukweli si visingizio.
Je jaji kutokea huyu labda kutokea katika ile taasisi inayolalamikiwa zaidi nyuma ya usukani pale:
alizingatia ushahidi au ukweli wa ushahidi?
Kama kupata Maelezo ya Adamoo, sheria ilikiukwa, Yatatupwa
Je washitakiwa waliteswa? Je jaji ajiridhisha kuhusiana na malalamiko ya washitakiwa au alitafuta kila kisingizio hata cha kuokoteza tu ili ayatupilie mbali mapingamizi?