Kesi ya Mbowe: Haki Haikuonekana Kutendeka

Kesi ya Mbowe: Haki Haikuonekana Kutendeka

Kweli biashara ya binadam hasa fikra ya binadam bado ipo. Hiki kipindi mahakama haina meno juu ya vipande vya fedha. Inauma lakn ndy hivyo!!

Hukumu hii ni aibu kwa mhimili wa mahakama na pigo kwa haki
 
wapuuzi kweli hawa watu.
vyombo vyote viwe macho sana na kauli za hawa wanafiki na wahuni.
kamwe wasitetereshwe na hawa majambazi wauza madawa ya kulevya.

zandrano, kuna aliyekuwa mfia chama kuliko Bashiru?

Leo analalama kuwa Samia anavunja katiba kwa kuzuia mikutano ya siasa hali yeye akiendelea.

Shibe mwana malevya. Nani asiyejua? Hata Kabundi, pia Pole pole wenye njaa leo wanayaona.

Uyaone vipi leo wewe basi? Tumia dada. Muda wako huu.
 
Hii inafananishwa na hadithi za hivi karibuni za watoto shule kama sii msingi no hatua za awali, kuwa mjumbe alimpatia sungura cheti kuuwa inzi popote atakapomwoona Kwa maelezo ya sungura kuwa alimwibia sungura chakula chake alichoandaa, na kufunga mlango wake, ila aliporejea akakuta chakula hakipo, ila alimwona inzi akiwa ndani ya nyumba yake. Hakika ni siku ya Giza. Watanzania usingizi huu wa mchana utaisha lini, huu ni usingizi wa hasara.
 
Madawa ya kulevya siku hizi sio kosa, "waliyakamata" kwa watuhumiwa wakaamua kunyamaza kimya.
uzuri kesi ya Jinai haichachi.
ipo pale pale.
ngoja imalizike kwanza hii ya jaribio la kuvunja amani ya nchi.
 
baada ya kuona maji ya shingo, eti gaidi limeamua kumlilia Hayati JKN.
yaani kadata ile mbaya!!
mbona ngoma bado sana.
 
Tii Sheria Bila shuruti hamtaki,,marehemu maghufuri alipofariki mukaanza kujimwambafai mbona hamkuyafanya akiwepo ,,akinyeshewa 3o akiri itawakaa ....raisi ni raisi na Ni Tasisi ,mlivyo wapumbavu sijui mliimuchukuliaje .........binafsi mliniudhi sana
 
Mkuu mahakama imeshageuzwa kuwa ni kitengo cha ccm. Hivyo kinatumika katika kuendeleza udhalimu na udikteta dhidi ya Chadema na Watanzania wapenda haki ili tu maccm yaendelee kung'ang'ania madaraka kwa njia haramu. Nchi yetu imerudi nyuma miaka 70 Mkuu.
 
Tii Sheria Bila shuruti hamtaki,,marehemu maghufuri alipofariki mukaanza kujimwambafai mbona hamkuyafanya akiwepo ,,akinyeshewa 3o akiri itawakaa ....raisi ni raisi na Ni Tasisi ,mlivyo wapumbavu sijui mliimuchukuliaje .........binafsi mliniudhi sana

Sheria ipi iliyokiukwa hadi mumuue Moses Lijenje?

IMG_20211015_144814_546.jpg
 
uzuri kesi ya Jinai haichachi.
ipo pale pale.
ngoja imalizike kwanza hii ya jaribio la kuvunja amani ya nchi.

Kwa hiyo sasa hivi mmesahau mtakumbuka baadaye?

Kuna zile wabaya kangaroo courts. Bila shaka siyo hizi.
 
baada ya kuona maji ya shingo, eti gaidi limeamua kumlilia Hayati JKN.
yaani kadata ile mbaya!!
mbona ngoma bado sana.
Hayah majamaa ni vilaza Sana yalikuja matamko kila siku Sasa hivi yapo kimya ,,
 
Back
Top Bottom