Hata kama angekuwa amejiunga leo. Jibu hoja acha unyumbu mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama angekuwa amejiunga leo. Jibu hoja acha unyumbu mkuu.
Mama namhurumiaMajuto ni mjukuu
Mama namhurumia
Kwa maelezo hayo, ni dhahiri wewe ni mwanasheria. Kwa sababu hiyo nashauri uungane na jopo la mawakili watetezi uongeze nguvu.Jaji Siyani ameamua kuamua kesi kwa hisia, facts na sheria kaona ujinga.
Kingai na Mahita hawajui chochote kilichomo kwenye PGO, ila "jaji wao" kawaona ma genius.
Badala ya jaji aamue kwa kuangalia sheria inasemaje, yeye ameamua kwa kuangalia "maoni yake"
Ameamua kuyatumia "maoni yake" kukwepa kutoa haki kwa anayestahili ili alinde ugali wake mpya alioletewa juzi kwenye sahani, na akuficha ujinga wa kina Kingai.
Kwa hukumu hii ndogo ya leo, nimeuona mkono wa Samia kwenye kuikamilisha, aliamua kuingia kichwani kwa jaji, akakaa, akatulia tuli, jaji akaendeshwa kama mwanasesere.
Hata kama Nina siku Moja Hamna ishu
Kenge mama yakoKwa Sabaya mnakenua meno haki imetendeka ,kwa mbowe haki haikutendeka.
Acheni kuingilia uhuru wa mahakama kenge nyinyi.
Wanaweka pdf likae sawia from ze begining....jaji wa kwanza KAJITOA.jaji wa PILI kajitoa.next jaji wa tatuKwa maelezo hayo, ni dhahiri wewe ni mwanasheria. Kwa sababu hiyo nashauri uungane na jopo la mawakili watetezi uongeze nguvu.
Ila ikumbukwe kuwa kesi ya msingi inacheleweshwa na pingamizi zisizo na mashiko. Ni pingamizi zinazomweka mshitakiwa katika wakati mgumu pale kesi ya msingi itakaposikilizwa.
Kwa hiyo, kwangu mimi, wa kulaumiwa ni Kibatala, Wakili msomi, na wenzake wanaomtetea Mbowe.
Huwezi kufumbia macho ukiukwaji wa sheria unaofanywa kuanzia mwanzo ili kusubiri hukumu ya mwisho, kila jambo/hatua kuanzia kumkamata mtuhumiwa, kumfanyia upelelezi, mpaka kumfikisha mahakamani lina taratibu zake zilizoainishwa kisheria, kukiuka taratibu yoyote kati ya hizo kunaifanya kesi husika kuwa batili na kustahili kuondolewa mahakamani.Kwa maelezo hayo, ni dhahiri wewe ni mwanasheria. Kwa sababu hiyo nashauri uungane na jopo la mawakili watetezi uongeze nguvu.
Ila ikumbukwe kuwa kesi ya msingi inacheleweshwa na pingamizi zisizo na mashiko. Ni pingamizi zinazomweka mshitakiwa katika wakati mgumu pale kesi ya msingi itakaposikilizwa.
Kwa hiyo, kwangu mimi, wa kulaumiwa ni Kibatala, Wakili msomi, na wenzake wanaomtetea Mbowe.
Watu hawajui, mpaka sasa mahakama imeharibika. Kiuhalisia hakuna mahakama.
Majaji karibia wote aliowateua marehemu ni miongoni mwa kundi lile la Wasiojulikana. Na msajili wa mahakama ni miongoni mwa wasiojulikana. Yeye ndiye anapanga jaji/hakimu gani asikilize kesi ipi. Zile zote za serikali kuwaonea/kuwagandamiza/kuwakomesha raia wanapangwa wasiojulikana waliopelekwa mahakamani kwaajili ya kupindisha haki ja sheria.
Msajili wa mahakama, Wasiojulikana
Jaji kiongozi Wasiojulikana
Jaji Mkuu Wasiojulikana
Hivi kweli bado kuna mahakama?
Huwezi kufumbia macho ukiukwaji wa sheria unaofanywa kuanzia mwanzo ili kusubiri hukumu ya mwisho, kila jambo/hatua kuanzia kumkamata mtuhumiwa, kumfanyia upelelezi, mpaka kumfikisha mahakamani lina taratibu zake zilizoainishwa kisheria, kukiuka taratibu yoyote kati ya hizo kunaifanya kesi husika kuwa batili na kustahili kuondolewa mahakamani.
Ajabu, jaji ameamua kufumbia macho ukiukwaji huo kwa kuangalia "maoni yake" yanasema nini akijua fika sheria ingewabana rafiki zake wa jamhuri, nimemkumbuka na yule jaji mwingine alieamua kuwa mwalimu wa upande wa jamhuri badala ya kuwa refarii/neutral, ndipo Chadema wakasema hawana imani nae, kwenye mazingira haya hata kuongeza nguvu ni ujinga tu.
Kwa Sabaya mnakenua meno haki imetendeka ,kwa Mbowe haki haikutendeka.
Acheni kuingilia Uhuru wa Mahakama kenge nyinyi.
Bado hujalia ongeza sauti [emoji23]
Haki haijawahi kujificha.
Jaji Siyani kwa kujiridhisha kuwa:
1. Mshitakiwa wa pili alikamatwa akawasaidia polisi kumtafuta Mosses Lijenje Moshi, Boma Ng'ombe hadi Arusha,
2. Njiani wakapata mishikaki na Mo Energy,
3. Mshitakiwa wa pili akatoa maelezo kwa ridhaa yake ndani ya masaa 4 yaliyowekwa kwa mujibu wa sheria,
4. Kwamba madai ya kuteswa kwa washitakiwa yalikuwa ni porojo tu,
Kama ilivyo kwa misahafu kuweza kutumika kufikia hitimisho lolote, ama kwa hakika Jaji Siyani hakubakia nyuma:
1. Jaji hakutaka kujishughulisha kujua walikuwa wapi wahanga wengine wa yaliyosemekana mateso Moses Lijenje au Luteni Urio,
2. Jaji hakutaka kujishughulisha wala kuhitaji uthibitisho wa madaktari kujiridhisha madai ya kuteswa ya washitakiwa.
"Kwa hukumu hii Sirro, Kingai, Mahita na polisi kwa ujumla mmepewa leseni ya kuuwa nzi. Kuwa uweni nzi wote popote mtakapowaona. Jaji Kiongozi mpya kawapa ruksa hiyo."
Haki kuonekana hadharani ikiporwa ni pigo kwa utawala wa sheria.
Kwa hakika leo imekuwa ni siku mbaya kabisa kwa mahakama na utawala wa sheria hapa nchini.
Kwani wana ulinzi mkali kuzidi ule wa John Kennedy ?Hivi hawa majaji ulinzi wao ukoje? Wangefanyiziwa wangeacha kutumika
Hapa tunasema HAKI , kisa Jaji lakini Hata kushughulisha ubongo KWa vitu vilivyo wazi hataki, hukum kwenye KESI ndogo aliandikiwa ,amedhalilisha Mahakama SanaKwa Sabaya mnakenua meno haki imetendeka ,kwa Mbowe haki haikutendeka.
Acheni kuingilia Uhuru wa Mahakama kenge nyinyi.
Hapa tunasema HAKI , kisa Jaji lakini Hata kushughulisha ubongo KWa vitu vilivyo wazi hataki, hukum kwenye KESI ndogo aliandikiwa ,amedhalilisha Mahakama Sana