Kesi ya Mbowe imetufanya kuparaganyika. Lissu amebakia kulalama Twitter, Bavicha wanazurura kwenye vijiwe vya kahawa. Hakuna dira kabisa

nani anae mfatilia huko mtandaoni? hapa ndipo chadema inapoferi kila siku, mambo ya msingi mnatolea ufafanuzi mtandaoni...mtaishia kulalamika tu
Masikini vijana wa ccm kumbe haya ndiyo matango pori mnayolishana hapo Lumumba 🀣🀣🀣
 
Kesi ya Mbowe imeipayusha zaidi Chadema.
Usijali gari likipata beakdown linatengenezwa na safari inaendelea.
 
Hahaaaa!!!!hongera bi. Mdogo wa mwenyekiti kwa kutoa ushuhuda
Mbowe akilewa konyagi huwa anasema maneno haya "CHADEMA ni mali yangu" si mara moja au mbili amesisitiza hili, sasa si unajua Africa mwenye mali akifa kinatokea nini?
 
Wakiparaganyika sio ndio vzr huko kwenu Lumumba ni furaha, Sasa unalialia nn tena ndugu coward?
 
Unamjua nani anahusika kuwapa chakula mahabusu? Mahabusu hupewa chakula na polisi na endapo atafungwa jukumu linakuwa ni la magereza.
Chama chenu ndicho kilichoitunga kesi sasa mmebaki mnabishana wenyewe kwa wenyewe kuhusu uhalali wa kesi yenu ya mchongo.
 
Huijui na hutakaa uijue Chadema!
 
dah kweli imetuvunja sana moyo yan hatupo hatupo yaani.
nakaribia kusimama na kuunga mkono juhud
 
Ndo maana kila ikifika wakati wa uchaguzi wa chama utawaskia Bavicha "mwamba tuvushe..."
Chadema ni show ya mtu mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…