Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Fanya ujitanue uzae sasa.Nina uchungu na chama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya ujitanue uzae sasa.Nina uchungu na chama.
Kwani huelewi maana ya kuparaganyika?Mbona nasikia lisu kamstopisha mnyika eti wametofautiana naama ya kushughukikia kesi ya mwenyekiti
Sent using Jamii Forums mobile app
Masikini vijana wa ccm kumbe haya ndiyo matango pori mnayolishana hapo Lumumba 🤣🤣🤣nani anae mfatilia huko mtandaoni? hapa ndipo chadema inapoferi kila siku, mambo ya msingi mnatolea ufafanuzi mtandaoni...mtaishia kulalamika tu
Huwezi kujua kwa sababu kichwani umejaza funza..Impact yake kichama? Na matatizo yetu?
Aliyekupa mimba Nani? Nenda kazae basi chama chakoNina uchungu na chama.
Umeambiwa CHADEMA wameshindwa kutoa chakula? huu upuuzi usidhani upo salama sn kuna siku yatakugeuka mpuuzi weweUbaya ya kuwa na chama ambacho mwenyekiti ndio one man band. Yaani ndio master minder, mpanga mikakati na hata mhamasishaji...
Achana na chadema jifunza kwa mwendazake na sukuma gang,usipende kulazimisha waliyoyapata mashabiki wa yangaUbaya ya kuwa na chama ambacho mwenyekiti ndio one man band. Yaani ndio master minder, mpanga mikakati na hata mhamasishaji...
Huyu bado hataki kujifunzaachana na chadema jifunza kwa mwendazake na sukuma gang
Bora aseeAliyekupa mimba Nani? Nenda kazae basi chama chako
Kesi ya Mbowe imeipayusha zaidi Chadema.Ubaya ya kuwa na chama ambacho mwenyekiti ndio one man band. Yaani ndio master minder, mpanga mikakati na hata mhamasishaji.
Kesi imevuruga mipango ya chama chetu kabisa. Uongozi umeyumba kabisa na inaonekana hakuna mikakati kabisa ya kujikwamua. Zimebaki ngonjera tu spacin huko Twita.
Bavicha ndio webaki kuzurura tu huku Mnyika akiwa hana hata mkakati wa kisiasa kujikwamua. Leo hii Mwenyekiti na watuhiwa wake wanalilia Chakula.
We jamaa hao chadema wanakutesa sana, polee
Mbowe akilewa konyagi huwa anasema maneno haya "CHADEMA ni mali yangu" si mara moja au mbili amesisitiza hili, sasa si unajua Africa mwenye mali akifa kinatokea nini?
Wakiparaganyika sio ndio vzr huko kwenu Lumumba ni furaha, Sasa unalialia nn tena ndugu coward?Ubaya ya kuwa na chama ambacho mwenyekiti ndio one man band. Yaani ndio master minder, mpanga mikakati na hata mhamasishaji.
Kesi imevuruga mipango ya chama chetu kabisa. Uongozi umeyumba kabisa na inaonekana hakuna mikakati kabisa ya kujikwamua. Zimebaki ngonjera tu spacin huko Twita.
Bavicha ndio webaki kuzurura tu huku Mnyika akiwa hana hata mkakati wa kisiasa kujikwamua. Leo hii Mwenyekiti na watuhiwa wake wanalilia Chakula.
Unamjua nani anahusika kuwapa chakula mahabusu? Mahabusu hupewa chakula na polisi na endapo atafungwa jukumu linakuwa ni la magereza.Ubaya ya kuwa na chama ambacho mwenyekiti ndio one man band. Yaani ndio master minder, mpanga mikakati na hata mhamasishaji.
Kesi imevuruga mipango ya chama chetu kabisa. Uongozi umeyumba kabisa na inaonekana hakuna mikakati kabisa ya kujikwamua. Zimebaki ngonjera tu spacin huko Twita.
Bavicha ndio webaki kuzurura tu huku Mnyika akiwa hana hata mkakati wa kisiasa kujikwamua. Leo hii Mwenyekiti na watuhiwa wake wanalilia Chakula.
Huijui na hutakaa uijue Chadema!Ubaya ya kuwa na chama ambacho mwenyekiti ndio one man band. Yaani ndio master minder, mpanga mikakati na hata mhamasishaji.
Kesi imevuruga mipango ya chama chetu kabisa. Uongozi umeyumba kabisa na inaonekana hakuna mikakati kabisa ya kujikwamua. Zimebaki ngonjera tu spacin huko Twita.
Bavicha ndio webaki kuzurura tu huku Mnyika akiwa hana hata mkakati wa kisiasa kujikwamua. Leo hii Mwenyekiti na watuhiwa wake wanalilia Chakula.
Una uchungu?Labda wa kupata mtoto!😝😝😝😝Nina uchungu na chama.