Kesi ya Mbowe imetufanya kuparaganyika. Lissu amebakia kulalama Twitter, Bavicha wanazurura kwenye vijiwe vya kahawa. Hakuna dira kabisa

Lema amekwa spika wa Spesiiii na wanaharakati njaaa.
 
Lema amekwa spika wa Spesiiii na wanaharakati njaaa.
Kiukweli na kutoka moyoni mnapenda isambaratike au iimarike. Kama furaha kwa cdm kusambaratika kusheherekea je?
 
Wewe ndio utakua umepata mparanganyiko tena wa akili.
 
Impact yake kichama? Na matatizo yetu?

..usipende matokeo ya papo kwa papo.

..au mafanikio bila kufanya kazi.

..bavicha unaodai wanazurura wanafanya kazi za chama pamoja na resources ndogo walizonazo.

..tuache kuwabeza bavicha, badala yake tuwashauri ktk kuboresha ujumbe wanaoupeleka maeneo mbalinbali.
 
nani anae mfatilia huko mtandaoni? hapa ndipo chadema inapoferi kila siku, mambo ya msingi mnatolea ufafanuzi mtandaoni...mtaishia kulalamika tu

..hiyo ni platform mpya ya kufanya siasa.

..hakuna anayefahamu itadumu kwa muda gani , lakini ni muhimu Cdm kuchangamkia fursa zote za kufanya siasa.

..advantage ya mitandao ni kiwango cha uwazi na demokrasia ktk mijadala inayoendelea.
 
Mwenyekiti wako Bi hangaya, wamemprove huku mahakamani kama mtu Muongo, mfitini, mlopolopo, msema uongo, msema maneno bila kujua anasema nn, mwenye IQ ndogo km ya kuku.
Dah hangaya uko alipo ni aibuuuu kubwa hasa kisogon mwake
Nina uchungu na chama.
 
Punguza porojo au njozi
 
Mpumbavu anakuelekeza ufanye uamuzi wa kipumbavu na wewe mwelevu ukaufanya, aliekuelekeza atakuona wewe ni mpumbavu maradufu.....jiangalieni mliotumika kwenye upumbavu wa kesi hii
 
dah kweli imetuvunja sana moyo yan hatupo hatupo yaani.
nakaribia kusimama na kuunga mkono juhud
Usichelewe, wahi seat ya mbele kwenye kuunga juhudi. Jiwe aliiharibu nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…