Kesi ya Mbowe: Jaji hana mamlaka na document yenye wrong citation. Court of Appeal ilishaonya mara nyingi

Haki ni nuru na kwe nuru Giza hukimbia kama IPO IPO t
 
Tatizo ni kwamba, anachokiamia Leo...siku chache zijazo, kitatumikia kuamua kesi ya MTU mwingine

Nandio maana watu wengi wamefungwa kwa sababu kuna makosa ambayo yalifanywa na majaji wapenda matumbo kama hawa!
Jamani nataka kujua kama jaji atakubali kutopokea ushaidi huu what will next.
 
Huyu jaji ameanza kuonyesha anapokea maelekezo toka nje ya uwanja, wiki hii tumependekeza iwe ya mawakili kujitoa kwani tayari hakuna imani na mahakama. Iwapo huyo jaji atazingua hiyo kesho aambiwe waziwazi kuwa anaagizwa kupendelea ushahidi wa kutunga. Na hapo mawakili wajitoe na wamruhusu achukue hatua alizoagizwa na serikali fullstop.
 

Wazee wa PGO watasema hiyo ni curable
 
Walianzia kwenye ile kesi ndogo maamuzi yalikua ya ajabu kweli sioni kama haki ipo kwenye hii kesi maana ushahidi unaotolewa ingekua sehemu ingine ingeshafutiliwa mbali hapa Rais ndio kwanza anaongelea kesi ambayo hata haikusomwa kwa hiyo majaji lazima waende na matakwa ya wakubwa wao...bila katiba kuondoa hizi mambo ya kuteuliwa vizazi vijavyo vitaendelea kuona haya maigizo...
 
Mkuu sina uelewa wa mambo haya, Mawakili wakijitoa si kesi itakuwa inatajwa mahakamani na kuhahirishwa, bila hukumu KWA muda mrefu mpaka uchaguzi ujao upite??
 
Jaji baada ya kuona Kaushindwa Mchezo Uwanjani, kaamua kuweka Mpira kwapani kwenda kupata Maagizo kutoka Kwa Hangaya
 
Maelezo mengine ni kama mnaingilia sana mahakama,nadhani tungeacha tuone maamuzi ya mh jaji.
 
Mimi mwenyewe nashangaa... pamoja na ungumbalu wangu kwenye sheria najua mara zote ukikosea tu vifungu, hata kesi inatupwa kule. Ngoja tuone; jaji asipokuwa makini, mawakili wa Mbowe watatumia huu uzembe kushinda rufaa mapema kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…