Na Jaji akaongeza kwa upole, "mbona mnanipa wakati mgumu"
Inaonyesha hii barua imewashtua Jaji na mawakili wa serikali.
Wacha waambuke mbele za wakwe sisi zetu duwa mdogo mdogo hoja zao zinawaumbua mbele ya kadamnasi.Na bado! Inavyoonekana hii kesi itaishia hapa kwa Ling'wenya.
Hapa kunaweza kuwapo barua hata zaidi ya 1000 kama hizi tena zenye kuzingatia vigezo na masharti hata kuliko ya vile vya Zuzu WS Chaula 😁😁. Zote zikiomba yakiwamo OC, MO, SD nk.
Kumbuka DW #2 Adamoo na DW#3 Shemeji yetu kipenzi chake Komando Ling'wenya nao wako kwenye bomba wanakuja.
Nao wanaweza kuja na barua kama hii hii kama concerned parties.
Hapa punda na afe tu ila mzigo ufike.
Kwanza hawakuitegemea naona wanatetea kwa hisia pasipo kuweka vifungu vya sheria.Kazi ipo jaji anawaambia usirudie aliyosema mwanzako umenielewa.
Wakafie mbali tu ata kwa ajali. Kuaibika hakutoshKabisa. Silaha zote zitumike. Kwa upande wangu kuanzia kesho naanzisha mashambulizi rasmi ya kiroho kwa Gurugushan wao. Kama Mungu aishivyo Gurushani ataaibika kwa niaba ya wenzake na wenzake wote wataaibika.
Leta hoja siyo ujingAMuulize Mbowe kama yuko tayari- rekodi za Tigo tu mmeanzisha kampeni ya kususia Tigo. Mbowe acha kuwa Gaidi tu ni MCHAFU KULIKO MAELEZO
... mbona barua ina maombi mazuri sana tena ya kusaidia shauri linaloendelea? Shida iko wapi kuwasilisha hizo nyaraka mahakamani? In short, wala hawakutakiwa kuombwa, hizo nyaraka zilitakiwa ziwasilishwe straight away na upande wa Serikali kinyume chake wao ndio wanaopinga! Kweli "the guilt are always afraid of their own actions".Barua hii inamwomba RPC Ilala kuwasilisha mahakamani:
"Mazaga zaga kadhaa zikiwamo kumbukumbu za Movement Order (MO), Station Diaries (SD) na Occurrence Books (OB) kwa ajili ya kuhakiki nyendo za D/C Msemwa."
Barua hii ikipita, RPC Ilala "atake asitake" itabidi tumpe mitano mingine 😁😁.
Hiiiiii bagosha!
Wapate ajali, gari iungue moto, waungue wabakie majivu, mvua kubwa inyeshe isombe majivu kusikojulikana, mateja waje waibe screpa za gari wakauze mbali, screpa ziyeyushwe zitengeneze visu, watoto wao na ndugu zao wanunue, kisha wafarakane wakatane na bisu hizo wakafie mbaliWakafie mbali tu ata kwa ajali. Kuaibika hakutosh
Hii vita tutashinda tu. Mungu ni Mungu wa wenye Haki. Kamwe Hatoshindwa.Barua hii kumhusu Komando Ling'wenya itakuwa imeutafsiri uwanja mzima rasmi kabisa kwa jinsi ulivyo.
Hakuna kisichofahamika tena. Hii ni vita kamili.
Vita vya haki dhidi ya dhuluma. Vita vya wanaothamini haki za watu yakiwamo maisha ya akina Luteni Urio, Moses Lijenje na wenzao, dhidi ya wenye ubinafsi wa kupitiliza.
"Vita ni vita Mura!"
Tumesikia "mahakamani si kwa mama zetu." Bila shaka "mahakamani ni kwa mama zao." Wao pia, kumbe tutake au tusitake ni mawakili wa mahakama.
Zimeombwa tu, Movement Order (MO), Station Diary (SD) na Occurrence Book (OB) kwa ajili ya kumkagua D/C Msemwa. kimeumana! Hakuna kuwaachia hawa.
"Waombeni pia na ma CCTV recordings njia yote RAU - Moshi - Arusha - Dar - Mbweni. Pia data kama hizo tokea makampuni ya simu."
Ipelekwe miito ya kuwaita wote na vyote vinavyoweza kusaidia kuthibitisha lolote. Asiachwe mtu au kitu tafadhali.
Iwe ni Hangaya, Sirro, Urio, Ahadi, Chungulu, Sabaya, Lijenje, nk. Tuonane Kizimbani. Vigezo na masharti yakizingatiwa.
Wanahofia nini nyendo za D/C Msemwa kuhakikiwa?
Si kuwa ni kwa sababu: "the guilty are always afraid?"
--------
Kesi ya Mbowe: Kwa minajili ya haki Mbivu na Mbichi zote zianikwe
Jina la ubini wake.Ndio maana wazizi wake wakampa jina la matata
Dogo, maneno yenu na post zenu haziwasaidii chochote washtakiwa. Kama wana hatia au wakitiwa hatiani watautumia mtondoo tu!Barua hii kumhusu Komando Ling'wenya itakuwa imeutafsiri uwanja mzima rasmi kabisa kwa jinsi ulivyo.
Hakuna kisichofahamika tena. Hii ni vita kamili.
Vita vya haki dhidi ya dhuluma. Vita vya wanaothamini haki za watu yakiwamo maisha ya akina Luteni Urio, Moses Lijenje na wenzao, dhidi ya wenye ubinafsi wa kupitiliza.
"Vita ni vita Mura!"
Tumesikia "mahakamani si kwa mama zetu." Bila shaka "mahakamani ni kwa mama zao." Wao pia, kumbe tutake au tusitake ni mawakili wa mahakama.
Zimeombwa tu, Movement Order (MO), Station Diary (SD) na Occurrence Book (OB) kwa ajili ya kumkagua D/C Msemwa. kimeumana! Hakuna kuwaachia hawa.
"Waombeni pia na ma CCTV recordings njia yote RAU - Moshi - Arusha - Dar - Mbweni. Pia data kama hizo tokea makampuni ya simu."
Ipelekwe miito ya kuwaita wote na vyote vinavyoweza kusaidia kuthibitisha lolote. Asiachwe mtu au kitu tafadhali.
Iwe ni Hangaya, Sirro, Urio, Ahadi, Chungulu, Sabaya, Lijenje, nk. Tuonane Kizimbani. Vigezo na masharti yakizingatiwa.
Wanahofia nini nyendo za D/C Msemwa kuhakikiwa?
Si kuwa ni kwa sababu: "the guilty are always afraid?"
--------
Kesi ya Mbowe: Kwa minajili ya haki Mbivu na Mbichi zote zianikwe
Shahidi wa jamhuri alipoulizwa hiki ni kitu gani kwenye hii karatasi akasema ni kipini kilidondokea bahati mbayaDocument moja wameunga unga. Mazaga zaga haya si machache. Kuyapotezea synchronize yote mbona shughuli?
La kuvunda halina ubani mjomba. Yakifika mazaga zaga 4 watakuwa hawana ubavu hawa.
Kumbuka huu ni mwanzo tu na mwanzo wa ngoma ni lele.
... mbona barua ina maombi mazuri sana tena ya kusaidia shauri linaloendelea? Shida iko wapi kuwasilisha hizo nyaraka mahakamani? In short, wala hawakutakiwa kuombwa, hizo nyaraka zilitakiwa ziwasilishwe straight away na upande wa Serikali kinyume chake wao ndio wanaopinga! Kweli "the guilt are always afraid of their own actions".
Huwa nakuelewa Sana na uchambuzi wako juu ya hii kesi mbowe
Shahidi wa jamhuri alipoulizwa hiki ni kitu gani kwenye hii karatasi akasema ni kipini kilidondokea bahati mbaya
Yani pini ambayo imebanwa na stapler kwenye karatasi eti anasema ilidondokea bahati mbaya
Mwenyenzi Mungu, mwingi wa rehema na kweli. Twakusihi usimame kwa haki katika hii kesi ya akina Mbowe.
Penye hujuma, peleka hukumu yako ya haki.
Na ikiwa mamlaka zinatumika vibaya kwa maslahi maovu ya wachache, Ee Mfalme, Mungu Mkuu, uliye na mamlaka kamilifu yenye nguvu nakusihi uwaondolee mamlaka zao kila mmoja kwa nafasi yake, na asiwepo awaye yeyote katika vizazi vyao atakayepewa madaraka hata ya balozi wa nyumba kumi. Haya yote yafanyike sawa na hukumu zako za haki kwa sababu wewe ndio uijuaye kweli, na kwa haya watu wote wapate kukutukuza na kukuinua daima mara watakapoona hili limetokea aukila watakapolikumbuka.
Nuru yang'aa gizani, nalo giza limetoweka daima
AMEN
Eti nina wasi wasi shahidi anafundishwa majibuBado jaji Tiganga hakuna taabu ila anadhani Ling'wenya anapata usaidizi kutokea nje ya kizimba ambao haionekani.
Hiiiiii bagosha!