Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Huwezi kulinganisha katiba mpya na chakula au utafutaji wa pesa, lakini katiba mpya inaweza kukusaidia kupata chakula cha halali na kutafuta na kuzipata!Endelea kukaririshwa Katiba mpya bila elimu ya Katiba kama utakula Katiba mpya
HakikaHao ndiyo wale wenye maslahi binafsi wakiwamo wasiojulikana:
Katiba Mpya na Janja janja za wenye Maslahi binafsi Madarakani
Kamuulize wasira aliwahi kutabiri kwamba Chadema itakuwa ndani ya mwaka mmoja, matokeo yake akafa yeye kisiasa [emoji12][emoji12][emoji12] wewe mwenyewe hapo ku handle tuu issues zako binafsi huwezi, mtaani huna msaada wowote/any legacy so far halafu unayafuatilia mambo ya CDM...CHADEMA haina uwezo, mifumo wala watu wenye maarifa wanaoweza ku-handle kesi ya Mbowe na wakati huo huo kuimarisha chama kuelekea 2025.
Ni ama Mbowe aachiwe huru aje kujenga Chama chake ama afungwe Chama chake kife rasmi.
Mtuache CHADEMA kwa sasa akili yote iko Mahakamani kwenye kesi ya Mbowe.
CHADEMA hii inazidiwa kwa mbali sana ki-organization hata na WASAFI ya Diomond!
Dola ina taarifa za michezo yake tangu late 1980s akijishughulisha na drug trafficking. Hilo la ugaidi ni ukurasa mmoja tu wa faili lake chafu.Kwa hiyo makosa ya kudai katiba, kuwa mwenyekiti kwa miaka 18, ndo yanayo mfanya Mbowe kuwa gaidi? Kwa hiyo angetulia tu kwenye boxer asingekuwa gaidi?!
Hii tu mnayosema haifai imenipeleka shule, imenipa ajira na Nina familia na maisha mazuri.Huwezi kulinganisha katiba mpya na chakula au utafutaji wa pesa, lakini katiba mpya inaweza kukusaidia kupata chakula cha halali na kutafuta na kuzipata!
Hii tu mnayosema haifai imenipeleka shule, imenipa ajira na Nina familia na maisha mazuri.
Hapa Tz hata ungepewa copy & Paste ya Katiba ya USA, kama hujishughulishi, utailalamikia tu kuwa ni mbaya
Kama ilikupeleka shule na akili zako kuhusu katiba ni hizi, lazima ina walakini!!Hii tu mnayosema haifai imenipeleka shule, imenipa ajira na Nina familia na maisha mazuri.
Hapa Tz hata ungepewa copy & Paste ya Katiba ya USA, kama hujishughulishi, utailalamikia tu kuwa ni mbaya
Unaweza tumia nguvu nyingi ukitaka kubomoa, kumbe unajenga.Ukichamba sana lazima ushike kinyesi. Mbowe kashika kinyesi kwa kujifanya mjuwaji. Miaka 5 ya Mwendazake aliufyata kimya kama uchi wa mwanaume hanithi kwenye boxer, lakini alivyokuja Rais SSH alimu underate sana kwa kumuona mwanamke hana uwezo.
Tatizo ni ulemavu wa uongozi alionao Mbowe. Kule CHADEMA yeye ndiye Mwenyekiti na yeye ndiyo sauti ya mwisho kwa kuwa amekuwa Mwenyekiti toka 2003, miaka 18 sasa.
Kimsingi Mbowe hana haiba ya kuwa Kiongozi wa kudai Katiba mpya kwa vile naye ni DIKTETA mbaya sawa na Magufuli tu.
Ngoja waonyeshane makali, sisi yetu macho
Kwa hivyo serikali inakalia makosa na maovu yote hayo, mpaka Mbowe arushe jiwe (kudai katiba mpya) ndo nayo impopowe mawe kwenye jumba lake la viyoo, (kumbambikia kesi ya ugaidi)?!Dola ina taarifa za michezo yake tangu late 1980s akijishughulisha na drug trafficking. Hilo la ugaidi ni ukurasa mmoja tu wa faili lake chafu.
Ukiishi nyumba ya vioo usiwatupie mawe waliopo nje, nao wanakuona na watakutupia
Ya kwako ndiyo ina walakini kwa kuwa unadindia treni ya wanasiasa ambayo huijuiKama ilikupeleka shule na akili zako kuhusu katiba ni hizi, lazima ina walakini!!
Machinga wanabomoa vibanda vyao wenyewe ili Jiji liwe safi. Kama na hapa unataka kuizomea Serikali basi UPINZANI ni UPUMBAVUUnaweza tumia nguvu nyingi ukitaka kubomoa, kumbe unajenga.
Ona sasa machinga mliowadangamya kwenye uchaguzi sasa wamechachamaa. Hawadanganyiki tena.
Huko nasikia boda boda nao wanajipaga
Amechamba mpaka kakamata mavi, muache ayavagaeKwa hivyo serikali inakalia makosa na maovu yote hayo, mpaka Mbowe arushe jiwe (kudai katiba mpya) ndo nayo impopowe mawe kwenye jumba lake la viyoo, (kumbambikia kesi ya ugaidi)?!
Umeandika nn sasa? Hizi shule za kata ni majanga makubwa sana kwa taifa. Usikute na wewe ni kati ya yule usiyejua tafsir ya neno ugaidi, gaidi na magaidi na sifa na tabia zao.Timu gaidi meno yote nje kwa furaha kwa sababu hao boda boda na bajaji vyuma vimelegea hela zitajaa mifukoni mwao baada ya kufukuzwa mjini
Dah mbowe alijitaftia matatizo mwenyewe, Mimi mwenyewe nilimshangaa huo ujasiri aliutoa wapi yeye, wakati enzi za jiwe alikuwa mpole na mkimyaMbowe alisema "Nikamateni mimi"
Kiufupi sikuelewa mbowe alioata wapi ujasiri wa ghafla baada ya JPM kwenda mbinguni[emoji847][emoji848],
Yaani richa ya account zake kuwa unfreezed, na kurudi nchini toka dubai, nilitarajia awe conciliatory towards establishment, hasa baada ya government kaonyesha good gesture towards wao,
Sijui hawakuelewa,, wao wakaanzisha movement na maneno mengi, ooh hatubembelezi kwenda ikulu, ooh tutawanyoa kwa wembe uleule,, ooh hapatataealika,,, [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hawashauriki hawa kwa kuwa wanamsikia Dikteta wao aliyeshikilia Uenyekiti kuanzia mwaka 2003. Halafu wanataka kuifundisha CCM kuhusu demokrasia na Katiba uTuliwashauri humu muache clashes na serikali mjikite na mambo mengine kujenga chama na muunganiko baada ya jiwe kuwaumiza hamukuskia mkajifanya kichwa ngumu, ona sasa kesi inawapelekesha mda mwingi unapotea mahakamani, chama hakijengwi na serikali inaweza mwachia 2024 mnakuwa mko disorganized, na itakula kwenu. Mlikurupuka kudai katiba kwa fujo na kuanza kumtukana Rais hao kina mdude na Tundu lisu kumwita Rais kuwa ni dictator wa kike.
Makamanda mpunguzege mihemko kwa kweli
Hawashauriki hawa kwa kuwa wanamsikia Dikteta wao aliyeshikilia Uenyekiti kuanzia mwaka 2003. Halafu wanataka kuifundisha CCM kuhusu demokrasia na Katiba u
Dah mbowe alijitaftia matatizo mwenyewe, Mimi mwenyewe nilimshangaa huo ujasiri aliutoa wapi yeye, wakati enzi za jiwe alikuwa mpole na mkimya
Dola ina taarifa za michezo yake tangu late 1980s akijishughulisha na drug trafficking. Hilo la ugaidi ni ukurasa mmoja tu wa faili lake chafu.
Ukiishi nyumba ya vioo usiwatupie mawe waliopo nje, nao wanakuona na watakutupia