Kesi ya Mbowe na wenzake inaanika hadi 'mambo ya siri za nchi'. DPP hujachelewa kuifuta

wenye akili zao hawewezi kuamini maneno ya uongo ya Ligwenya/ Adamoo, huyo ni mtuhumiwa wa Ugaidi anaye daiwa kumtumikia mtuhumiwa Mbowe.
kama walidhani wanaweza kupoteza amani yetu ya Tz basi wajue amani ya Tz lazima ilindwe kwa gharama yoyote ile.
Naona ushajigeuza we mahakama unatoa hukumu hta kabla ya kesi kuisha.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
I concur...
 
Acha uchochezi na hao hawakuwa tena ni wanajeshi hai kutokana na kuondolewa kwa sababu za kinidhamu.

Hakuna mwanajeshi hai kiutendaji anaweza akateswa na polisi bila suala husika kumalizwa hapo hapo.

Hakuna mwanajeshi hai kiutendaji anafunga mkataba wa kumtumikia mtu binafsi au mwanasiasa kwa malipo.
 
Dpp mwenyewe anakuelewa basi???
 
Jana mawakili wa serikali wameuliza maswal ya msingi sana kwenye cross examination

Maswali ya mawakili wa serikali ukiyasikiliza ni mazuri ila yanaharibika pale wakili wa upande wapili wanapoyafungua na kuiweka wazi motive ya maswali hayo, hivyo yanaisha nguvu na kutufunulia mambo mengi zaidi. Sioni kesi ikifika mbali bila kuacha madoa kwa serikali.
 
Ni mpango wa Mungu y yaliyo maovu ya sirin yajulikane.Mungu anaipenda sana Tanzania ndo maana alimchukua jiwe wakati sahihi kabisa.
Ni kweli jiwe angekuwa hai kwa mambo haya jw wangeleta tashtiti maana na wao walishamchoka shida mama bado wanamheshimu na wanajua hili sio zigo lake ni la mwendazake.
 
wenye akili zao hawewezi kuamini maneno ya uongo ya Ligwenya/ Adamoo, huyo ni mtuhumiwa wa Ugaidi anaye daiwa kumtumikia mtuhumiwa Mbowe.
kama walidhani wanaweza kupoteza amani yetu ya Tz basi wajue amani ya Tz lazima ilindwe kwa gharama yoyote ile.
Sawa hata Kama kumwandaa Komandoo mmoja ni gharama kubwa mno Bora umpeleke hata Kongo au Daarf kuliko kummoses lijenje hii hatar Sana
 
Si rahisi kama unavyofikiri,haya mambo yataishia kufurahisha watu jf kama ndoto tu.
mbegu lazima iote. kama siyo leo ni kesho kama si wakati huu, wakati utafika. mark my words. Change come after frustrations. Na polisi wameanza kuharakisha frustrations za watu kwa kasi ya ajabu sana.
 
Hivi marehemu Tamim na wale wenzake katika kesi ya kutaka kumpindua Nyerere walikuwa raia wa kawaida? Si hao hao baadhi ya makomandoo na Wanajeshi wachache wa JW

Tusipende kujisahaulisha mambo kuona kama wao wakwanza kuhusishwa kwenye kadhia hiyo kumbe walikuwepo wengine kabla yao walishahukumiwa mpaka vifungo
 
Mpaka iwe kashfa kwani hao ni wanajeshi wa kwanza kushitakiwa?
 
Acha wajianike uonevu utakoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…