Umejuaje hajajitayarisha. Yaani muda huo wote yuko ndani na anajuwa mashitaka yake asijitayarishe.Nimependa sana huyo shahidi mtuhumiwa alivyotoa ushahidi wake bila maandalizi yoyote, amesimamishwa ghafla tu, lakini kwa sababu anachosema ni kweli tupu hajajichanganya popote, ametoa ushahidi wake very straight forward.
CCM ni makatili kuliko unavyodhaniKama haya yaliyosemwa ni kweli i am speechless kabisa!
AiseeNitajie wakili yeyote wa Serikali ambaye ana uelewa wa sheria japo nusu ya Kibatala... Nami nitakuonesha nguzo ya umeme inayozaa mapapai
SureWalioteswa nao wana familia zao, zinawategemea na kuwapenda pia.
Kuwatesa wao ni kutesa familia zao.
Tusubiri haki ipatikane baada ya mahakama kuthibitisha kwa na hatia au innocent.
Kila mtu anastahili kutendewa wema.
Na labda hata hizo Shiling 260 elfu walizo chukua ndio zilizo tumika kulipia mafuta ya gari, supu, nyama choma, ndizi na Mo energy. Haingii akilini kama binadamu mwenzako kumfanya unyama wa kumninginiza binadamu mwingine kaka popo, hata huko Guandanamo hilo halikufanyika... siku polisi wakiingia 18 za makomandoo wa jeshi, shughuli yao wataiona kwa kumtendea Mjeda mwenzao kama alivyo sema kwenye mahakama...Kwa tunavyowafahamu polisi wa watanzania, Adamoo ataaminiwa na watanzania wote kwa anachoeleza kilichomtokea kuliko hiyo stori ya kununuliwa nyama choma ya Kingai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari sana kwa lilipofikia limepiteza samani mbele ya jamii
Mapolisi ni MAJAMBAZI yaliyo kwenye sare rasmi, full stop.Kama Mtanzania mwenye Moyo nimeumizwa sana na yale niliyoyasikia Mahakamani leo.
Kwa yanayoendelea kwenye kesi ya Mbowe na
wenzake itoshe tu kusema Wanzania tuwe makini sana na Polisi wetu.
1. Kuna kuwekewa madawa ya kulevya
2. Kupewa kesi ya UGAIDI
3. Kuchukuliwa pesa zako mfukoni.
4. Mateso ya KINYAMA.
5. Kushinda na NJAA hali ya kuwa mahabusu.
Polisi sio watu tena wa kulinda RAIA NA MALI ZAO BALI NI KUTESA RAIA NA KUCHUKUA MALI ZAO.
SIASA SIASANI...
Una uwezo mdogo wa kuchanganua mambo.Jamaa yuko vizuri kichwani kushinda mawakili wa serikali.Tunatofautiana uelewa..binafsi naona jamaa kajichanganya sana.ndio maana wakili wa serikali amepata muda wa kumuuliza maswali mengi sana.
Komando💩💩Kingai Ni komando[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kabsa mkuuHao ni magaidi Mkuu polisi waliopitia mafunzo ya kweli hawawezi kufanya unyama wa kutisha kama huo.
[emoji1][emoji1]Tanzania haiishiwi maajabu, unaweza kuta kweli na yeye ni komandoo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
SaaanaHata mm nimeliona hili Ni uzalilisahji mno
Acha tuNa labda hata hizo Shiling 260 elfu walizo chukua ndio zilizo tumika kulipia mafuta ya gari, supu, nyama choma, ndizo na Mo energy. Haingii akilini kama binadamu mwenzako kufanya unyama wa kumnnginiza binadamu mwingine kaka popo, hata huko Guandanamo hilo halikufanyika... siku polisi wakiingia 18 za makomandoo wa jeshi, shughuli yao wataiona kwa kumtendea Mjeda mwenzao kama alivyo sema kwenye mahakama...
Hii kesi ya Mbowe Ni kusudio Sana ili tujuwe maovu ya hao makatiri polisiMaaskari waliowatesa,mimi binafsi nawaonea huruma sana,kwamaana kesi hiyo imewafanya watuhumiwa wawajue kua kumbe ndo Hawa waliotufanyia udhalilishaji na kutweza utu wetu?
Yakiisha mahakamani,watatafutana mitaani.Mtu akidhamilia kulipa kisasi,hata ipite miaka 30,atalipa tu.Ombi langu,familia zisihusishwe.
Komandoo wa polis umlinganishe na komandoo wa jwtz?
Hawakufanikiwa kuwanunua kwa vipande vya pesa, Shikamoo wajeda wote popote mlipo.Kama haya yaliyosemwa ni kweli i am speechless kabisa!