Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi yaahirishwa. Kuendelea Jumatatu ya tarehe 27/09/2021

Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi yaahirishwa. Kuendelea Jumatatu ya tarehe 27/09/2021

Nimependa sana huyo shahidi mtuhumiwa alivyotoa ushahidi wake bila maandalizi yoyote, amesimamishwa ghafla tu, lakini kwa sababu anachosema ni kweli tupu hajajichanganya popote, ametoa ushahidi wake very straight forward.
Umejuaje hajajitayarisha. Yaani muda huo wote yuko ndani na anajuwa mashitaka yake asijitayarishe.
 
Walioteswa nao wana familia zao, zinawategemea na kuwapenda pia.
Kuwatesa wao ni kutesa familia zao.

Tusubiri haki ipatikane baada ya mahakama kuthibitisha kwa na hatia au innocent.

Kila mtu anastahili kutendewa wema.
Sure
 
Kwa tunavyowafahamu polisi wa watanzania, Adamoo ataaminiwa na watanzania wote kwa anachoeleza kilichomtokea kuliko hiyo stori ya kununuliwa nyama choma ya Kingai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na labda hata hizo Shiling 260 elfu walizo chukua ndio zilizo tumika kulipia mafuta ya gari, supu, nyama choma, ndizi na Mo energy. Haingii akilini kama binadamu mwenzako kumfanya unyama wa kumninginiza binadamu mwingine kaka popo, hata huko Guandanamo hilo halikufanyika... siku polisi wakiingia 18 za makomandoo wa jeshi, shughuli yao wataiona kwa kumtendea Mjeda mwenzao kama alivyo sema kwenye mahakama...
 
Maaskari waliowatesa,mimi binafsi nawaonea huruma sana,kwamaana kesi hiyo imewafanya watuhumiwa wawajue kua kumbe ndo Hawa waliotufanyia udhalilishaji na kutweza utu wetu?
Yakiisha mahakamani,watatafutana mitaani.Mtu akidhamilia kulipa kisasi,hata ipite miaka 30,atalipa tu.Ombi langu,familia zisihusishwe.
 
Hatari sana kwa lilipofikia limepiteza samani mbele ya jamii

Kama Mtanzania mwenye Moyo nimeumizwa sana na yale niliyoyasikia Mahakamani leo.

Kwa yanayoendelea kwenye kesi ya Mbowe na
wenzake itoshe tu kusema Wanzania tuwe makini sana na Polisi wetu.

1. Kuna kuwekewa madawa ya kulevya

2. Kupewa kesi ya UGAIDI

3. Kuchukuliwa pesa zako mfukoni.

4. Mateso ya KINYAMA.

5. Kushinda na NJAA hali ya kuwa mahabusu.

Polisi sio watu tena wa kulinda RAIA NA MALI ZAO BALI NI KUTESA RAIA NA KUCHUKUA MALI ZAO.

SIASA SIASANI...
Mapolisi ni MAJAMBAZI yaliyo kwenye sare rasmi, full stop.
 
Tunatofautiana uelewa..binafsi naona jamaa kajichanganya sana.ndio maana wakili wa serikali amepata muda wa kumuuliza maswali mengi sana.
Una uwezo mdogo wa kuchanganua mambo.Jamaa yuko vizuri kichwani kushinda mawakili wa serikali.

Ndo maana hata jaji akamwambia wakili wa serikali wacha kutoa explanation,uliza swali!
 
Na labda hata hizo Shiling 260 elfu walizo chukua ndio zilizo tumika kulipia mafuta ya gari, supu, nyama choma, ndizo na Mo energy. Haingii akilini kama binadamu mwenzako kufanya unyama wa kumnnginiza binadamu mwingine kaka popo, hata huko Guandanamo hilo halikufanyika... siku polisi wakiingia 18 za makomandoo wa jeshi, shughuli yao wataiona kwa kumtendea Mjeda mwenzao kama alivyo sema kwenye mahakama...
Acha tu
 
Maaskari waliowatesa,mimi binafsi nawaonea huruma sana,kwamaana kesi hiyo imewafanya watuhumiwa wawajue kua kumbe ndo Hawa waliotufanyia udhalilishaji na kutweza utu wetu?
Yakiisha mahakamani,watatafutana mitaani.Mtu akidhamilia kulipa kisasi,hata ipite miaka 30,atalipa tu.Ombi langu,familia zisihusishwe.
Hii kesi ya Mbowe Ni kusudio Sana ili tujuwe maovu ya hao makatiri polisi
 
Komandoo wa polis umlinganishe na komandoo wa jwtz?
IMG_20210820_121303_979.JPG

Comandoo wa Polisi huyo.
 
Back
Top Bottom