ksny
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 1,704
- 1,694
Umejuaje hajajitayarisha. Yaani muda huo wote yuko ndani na anajuwa mashitaka yake asijitayarishe.Nimependa sana huyo shahidi mtuhumiwa alivyotoa ushahidi wake bila maandalizi yoyote, amesimamishwa ghafla tu, lakini kwa sababu anachosema ni kweli tupu hajajichanganya popote, ametoa ushahidi wake very straight forward.