Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi yaahirishwa. Kuendelea Jumatatu ya tarehe 27/09/2021

Nilichoelewa ni kimoja tu wakili wa serikali amemtishia Komandoo Kwa kumuambia "unajifanya Unajua Sana "
Yani wakili msomi anamuuliza swali shahidi asiyejua sheria, anajibiwa Kwa tekniki anapanik
 
Tumeshasema ukiingia ndani ya 18 za polisi lazma uage kwenu Mana uhakika wa kurudi unakuwa mdogo
 
Jamaniii
Yaani hawa polisi sio wanadamu kabisa... Its touching kumfanya mwenzako kama mnyama. Ndio maana Kingai kamwambia Mh Mbowe nakupa kesi ya ugaidi?? Maana alisha iandaa.. Mungu amlaani Kingai na kizazi chake hadi cha kumi. Mbwa kabisa huyu
Kingai ni JAMBAZI kabisa yule, akiwa kwenye sare rasmi za serikali ya CCM.
 
Leo kesi ya Mbowe iliendelea mahakama ya uhujumu uchumi.

Shahidi namba 4 wa serikali ameingia mitini na jamuhuli wameondoa huo ushahidi.

Gafra ndo akasimamishwa Mtuhumiwa, ambae alikuwa mlinzi wa Mbowe, Ni komando aliyehudumu kwenye operation uko DRC, kwenye kuondoa waasi wa MaiMai.

Jamaa kaelezewa alivyoteswa na Kingai na Ispecta Mahita, yaani alipigwa Sana, alichomwa bisibisi matakoni na kwenye Mbavu, alifungwa na kuninginia Kama mnyama.

Sasa huyo jamaa alivyo komando akiachiwa si hatari kwa waliomtesa kina Kingai,Mahita na Familia zao.

Jamani tutende wema
 
K Kwa hiyo unataka kusemaje?
 
Kwani hao waliomtesa siyo makomandoo?
 
Nimependa sana huyo shahidi mtuhumiwa alivyotoa ushahidi wake bila maandalizi yoyote, amesimamishwa ghafla tu, lakini kwa sababu anachosema ni kweli tupu hajajichanganya popote, ametoa ushahidi wake very straight forward.
 
Nimependa sana huyo shahidi mtuhumiwa alivyotoa ushahidi wake bila maandalizi yoyote, amesimamishwa ghafla tu, lakini kwa sababu anachosema ni kweli tupu hajajichanganya popote, ametoa ushahidi wake very straight forward.
Tunatofautiana uelewa..binafsi naona jamaa kajichanganya sana.ndio maana wakili wa serikali amepata muda wa kumuuliza maswali mengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…