Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza.Kama ambavyo wasomi wabobezi hawahangaiki na ajira ya Jeshi la Police.... Ndivyo ilivyo kwa Mawakili wote "vichwa" huwa hawaajiriwi na serikali...
Nadhani nimeeleweka vizuri....
😀😀😀😀Kama ambavyo wasomi wabobezi hawahangaiki na ajira ya Jeshi la Police.... Ndivyo ilivyo kwa Mawakili wote "vichwa" huwa hawaajiriwi na serikali...
Nadhani nimeeleweka vizuri....
Hiyo sehemu nimecheka sana aseeNilichoelewa ni kimoja tu wakili wa serikali amemtishia Komandoo Kwa kumuambia "unajifanya Unajua Sana "
Tumeshasema ukiingia ndani ya 18 za polisi lazma uage kwenu Mana uhakika wa kurudi unakuwa mdogoKama Mtanzania mwenye Moyo nimeumizwa sana na yale niliyoyasikia Mahakamani leo.
Kwa yanayoendelea kwenye kesi ya Mbowe na
wenzake itoshe tu kusema Wanzania tuwe makini sana na Polisi wetu.
1. Kuna kuwekewa madawa ya kulevya
2. Kupewa kesi ya UGAIDI
3. Kuchukuliwa pesa zako mfukoni.
4. Mateso ya KINYAMA.
5. Kushinda na NJAA hali ya kuwa mahabusu.
Polisi sio watu tena wa kulinda RAIA NA MALI ZAO BALI NI KUTESA RAIA NA KUCHUKUA MALI ZAO.
SIASA SIASANI...
Kingai ni JAMBAZI kabisa yule, akiwa kwenye sare rasmi za serikali ya CCM.Jamaniii
Yaani hawa polisi sio wanadamu kabisa... Its touching kumfanya mwenzako kama mnyama. Ndio maana Kingai kamwambia Mh Mbowe nakupa kesi ya ugaidi?? Maana alisha iandaa.. Mungu amlaani Kingai na kizazi chake hadi cha kumi. Mbwa kabisa huyu
Mama alitakiwa ajiridhishe ndiyo aingilie kati, kuacha indelee itaharibu reputation ya serikali na taifa kwa ujumla, mbaya ya kusikia ya leo yamenimaliza kabisaHii kesi ni fedheha kwa serikali,what a shame!
Kwa hiyo unataka kusemaje?Leo kesi ya Mbowe iliendelea mahakama ya uhujumu uchumi.
Shahidi namba 4 wa serikali ameingia mitini na jamuhuli wameondoa huo ushahidi.
Gafra ndo akasimamishwa Mtuhumiwa, ambae alikuwa mlinzi wa Mbowe, Ni komando aliyehudumu kwenye operation uko DRC, kwenye kuondoa waasi wa MaiMai.
Jamaa kaelezewa alivyoteswa na Kingai na Ispecta Mahita, yaani alipigwa Sana, alichomwa bisibisi matakoni na kwenye Mbavu, alifungwa na kuninginia Kama mnyama.
Sasa huyo jamaa alivyo komando akiachiwa si hatari kwa waliomtesa kina Kingai,Mahita na Familia zao.
Jamani tutende wema
Kwani hao waliomtesa siyo makomandoo?Leo kesi ya Mbowe iliendelea mahakama ya uhujumu uchumi.
Shahidi namba 4 wa serikali ameingia mitini na jamuhuli wameondoa huo ushahidi.
Gafra ndo akasimamishwa Mtuhumiwa, ambae alikuwa mlinzi wa Mbowe, Ni komando aliyehudumu kwenye operation uko DRC, kwenye kuondoa waasi wa MaiMai.
Jamaa kaelezewa alivyoteswa na Kingai na Ispecta Mahita, yaani alipigwa Sana, alichomwa bisibisi matakoni na kwenye Mbavu, alifungwa na kuninginia Kama mnyama.
Sasa huyo jamaa alivyo komando akiachiwa si hatari kwa waliomtesa kina Kingai,Mahita na Familia zao.
Jamani tutende wema
Kingai Ni komando[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kwani hao waliomtesa siyo makomandoo?
Umeona aiseeeNimependa sana huyo shahidi mtuhumiwa alivyotoa ushahidi wake bila maandalizi yoyote, amesimamishwa ghafla tu, lakini kwa sababu anachosema ni kweli tupu hajajichanganya popote, ametoa ushahidi wake very straight forward.
Polisi ni washenzi sana
Tunatofautiana uelewa..binafsi naona jamaa kajichanganya sana.ndio maana wakili wa serikali amepata muda wa kumuuliza maswali mengi sana.Nimependa sana huyo shahidi mtuhumiwa alivyotoa ushahidi wake bila maandalizi yoyote, amesimamishwa ghafla tu, lakini kwa sababu anachosema ni kweli tupu hajajichanganya popote, ametoa ushahidi wake very straight forward.