ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
DADA,Mwambieni Mbowe aombe msamaha kwa mke wake. Miaka yote anamcheat mkewe na wanawake wa viti maalum mpaka kuzaa nao. Mungu hafurahi. Ndo maana anapatwa na haya. Walau Lilian ana uhakika mmewe alipo (Jela).Mbowe hapa hachomoki.
Hayo usemayo yawepo au yasiwepo ni ya kwao Mume na Mkewe. Wenzio tuliyo ndani ya ndoa kongwe tulifanikiwa kwa, pamoja na yote, kuziba masikio kwa wapambe nuksi kama nyie.
Kama nawe watamani kuja fanikiwa kudumisha ya kwako, fanya hivyo hivyo. Kama bado kujaliwa basi endelea kumwomba Mungu kwa unyenyekevu. AMEN