Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

Hahah naona Mbowe yupo kushindwa kwa TKO round ya kwanza hapa!

Waswahili wanasema ukiwa muongo uwe unakumbukumbu.
 
SI kuna upande uliomba kesi isiwe public?

Tuanzie hapo, kwa vyovyote vile wana sababu hata kama haipo wazi.
 
Kwa hiyo huyu shahidi anawajua makomandoo. MBOWE ana miaka mingapi ya uenyekiti mpaka aje aombe makomandoo.kwa RPC?

Kwani tangu lini polisi wakawa washauri wa Mbowe. Yaani ni Mbowe huyu kila siku anapewa makesi ya kubuma.

Ni kweli ile kauli ya awamu hii huchomoki inafanyakazi.
Kwani Lowasa alikuwaje mshauri wa Chadema na baadaye kuwa mgombea Chadema wakati ni akiwa CCM?
 
Ukifuatilia hao makomandoo wanatoka mikoa ya kusini ambako tuliona ugaidi ukiwa umepamba moto na Chadema kupitia Mbowe waliunga mkono sana harakati zile bungeni na press conference zao hata kuaga askari kibao waliouawa na magaidi hawakutokea kuaga

Mabalozi waweza anza ku connect dots. pia hao commando ni waislamu kama wale waliosumbua mikoa ya kusini na msumbiji
Ivi wewe kwa akili zako Tanzania inaweza kupambana na magaidi?
Mipango ya ugaidi hao polisi wako walioiba mitihani wanaweza wakaijua kweli?
Kwahiyo mtu anapanga njama za ugaidi kisha anakutwa na dawa za kulevya unamshitaki kwa ugaidi tu na dawa za kulevya kinakuwa halali???
Kosa la ugaidi linafanyika 2020 mnamuacha mtuhumiwa mpaka aende Dubai! Ashiriki uchaguzi mkuu nk?
Akili zipo sawa au ndo matokeo ya shule za KATA???
Kwahiyo mtu yeyote anatokea kusini ni gaidi?
 
Duh ,Hilo nalo neno hii mikosi kwa mbowe inauma Sasa akamtuma mwanajeshi amtafutie wauaji noma sana

USSR
Ona alivyoingia king kizembe. Nini kilimtuma kumwamini yule mwanajeshi hata kama ni home boy. Ona sasa alivyomuuza too sad. Hope huyo Denis alikuwa anamrecord. Hapo ndo Mbowe kwisha habari yake.
 
Kesi ya kubambikiza hiyo hata mwehu anajua na haihusiani na kuachana na mke wake
Hadi uwe na macho ya kiroho ndo ujue kuwa hii kesi isiyokuwa na miguu wala kichwa ni laana kwa Mbowe. Mwambieni Atubu.
 
Ona alivyoingia king kizembe. Nini kilimtuma kumwamini yule mwanajeshi hata kama ni home boy. Ona sasa alivyomuuza too sad. Hope huyo Denis alikuwa anamrecord. Hapo ndo Mbowe kwisha habari yake.
Lisu mwenyewe na Lema walitoroka baada ya kushirikisha akina mama mpango wa kulipua vituo vya mafuta nk akina mama wakasema no watakaoumia ni wanawake wenzetu na watoto wakaripoti kunakohusika. LEMA HANA HAMU NA Tanzania akakimbia akamwambia Lisu tumekwisha akina mama Chadema wamechoma mpango mzima vyombo Vya dola tumekwisha. LISU AKAKIMBILIA UBALOZINI NA MBIO ULAYA


HONGERENI AKINA MAMA BAWACHA CHADEMA KWA KAZI KUBWA MLIFANYA


Nchi hii magaidi hayana nafasi yawe CCM au Chadema au popote
 
Ona alivyoingia king kizembe. Nini kilimtuma kumwamini yule mwanajeshi hata kama ni home boy. Ona sasa alivyomuuza too sad. Hope huyo Denis alikuwa anamrecord. Hapo ndo Mbowe kwisha habari yake.

Kwani joy mukya yuko wapi? Hapo hamna kesi maana hakuna uhalifu uliofanywa ndio maana wamejificha kwenye ugaidi na uhujumu uchumi kesi ambazo zina excuse kidogo lakini mbowe anachomoka mapema tu
 
Kama sio mwanasheria, nenda kasome Sheria, upo vizuri kweli. Na Mimi nitasoma Sheria kwakua Nina mwanga mdogo.
Cross examination itakuwa nzuri sana. Ni wazi sasa hii kesi ilikuwa ni project ya ngazi za juu za polisi. Ndio maana hakukuwa na jitihada zozote za polisi katika sehemu zilizotajwa kuweka hata doria, au taarifa kwa vyombo vya usalama kuhusu milipuko mingi na kufungwa njia! Ni kwa sababu jambo lenyewe halikuwepo in the first place!! Sijaelewa kitu kimoja though, huyu askari hawezi kuwa shahidi kwa sababu hakuongea na watuhumiwa wala hakushuhida matukio yaliyokuwa yamepangwa. Ninaona anaelezea tu Polisi walifanya mambo gani. Nasubiri kwa hamu.
 
Back
Top Bottom