Havizya
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 499
- 702
NYOOODO,jaji ni babako?Huyu jamaa akichomoa hii kesi anapaswa kwenda kutambika!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NYOOODO,jaji ni babako?Huyu jamaa akichomoa hii kesi anapaswa kwenda kutambika!!!!
Great!!!Hii kesi ipo kumharibia Hangaya tu,na sijui kama mwenyewe ameshaistukia.
... walikuwa pia wamepanga kulaza magogo barabara ya Morogoro - Iringa! Ha ha ha!Kwa hiyo mbowe anataka nchi isitawalike kwa kumdhuru Sabaya au ni kesi ya kete mbili za madawa ya kulevya? vikesi vingine ni aibu tupu
Aisee noma sana ila walishaachana kitamboMwambieni Mbowe aombe msamaha kwa mke wake. Miaka yote anamcheat mkewe na wanawake wa viti maalum mpaka kuzaa nao. Mungu hafurahi. Ndo maana anapatwa na haya. Walau Lilian ana uhakika mmewe alipo (Jela).Mbowe hapa hachomoki.
Unajua kuna mashtaka makuu na madogo au umbumbumbu tu unakususmbuaKIBWAGIZO;
Shahidi wa Jamhuri, ACP Kingai anasema washtakiwa walikutwa na bastola na Risasi 3. Hati ya mashtaka inasema ni risasi 1 na bastola 1. OK!
Kingai anasema aliwakuta na kete 58+25=83 za dawa za kulevya aina ya Heroine. Lakini vyote hivyo havipo kwenye hati ya mashtaka!!
Biblia inasema usimwache mke wa ujana wako. Ona sasa yanayomkuta.Aisee noma sana ila walishaachana kitambo
USSR
Acknowledge source ya information,Ni uungwana tuNa kule upande wa pili Hangaya anahubiri demokrasia kwa wanawake wa shiishiiemuu, Only in Tanzania. Baadaye balozi zikifunga ofisi mnalalamika wakati hao ndio wanawapa hadi hela za ARV na Condoms, shame
Hee mtakatifu m/kiti wa kudumu alkua anakula mbususu ya viti maalum akimuacha mke waake?!Mwambieni Mbowe aombe msamaha kwa mke wake. Miaka yote anamcheat mkewe na wanawake wa viti maalum mpaka kuzaa nao. Mungu hafurahi. Ndo maana anapatwa na haya. Walau Lilian ana uhakika mmewe alipo (Jela).Mbowe hapa hachomoki.
Kesi ya kubambikiza hiyo hata mwehu anajua na haihusiani na kuachana na mke wakeBiblia inasema usimwache mke wa ujana wako. Ona sasa yanayomkuta.
tatizo ni mwandika script amechemka na aliowapa kuisoma na kuicheza ndio wa la saba waliosifiwa. Ila wasivyo na aibu wako wanaoona hiyo ni kesi yenye mashiko na viuno wanaikatia 😀 😀Nafikiri hawa wawakilishi kutoka nchi wafadhili wa maendeleo ya nchi yetu wanataka kushuhudia ukweli kuhusu madai ya uwepo wa ufadhili wa matendo ya kigaidi kwa TZS 600,000/- ama US $ 258 tu.
Serikali yetu sikivu inajipanga ili kuuweka ukweli wake wote hadharani. Ijapokuwa katika kesi hii nina uhakika watafeli ile mbaya sana na hata kuaibika mbele ya macho ya dunia.
Duh ,Hilo nalo neno hii mikosi kwa mbowe inauma Sasa akamtuma mwanajeshi amtafutie wauaji noma sanaBiblia inasema usimwache mke wa ujana wako. Ona sasa yanayomkuta.
Kama sio mwanasheria, nenda kasome Sheria, upo vizuri kweli. Na Mimi nitasoma Sheria kwakua Nina mwanga mdogo.RCO Arusha unapigiwa simu kuwa kuna njama za kiahalifu zinafanyika mkoa wa Kilimanjaro unaenda kuchunguza je una jurisdiction gani mkoa wa Kilimanjaro? Hakuna RPC na RCO mkoa wa Kilimanjaro?
Kwanini hakutoa taarifa kwa wenye mamlaka ya kipolisi katika mkoa huo walishughulikie? Yeye alivuka mipaka yake kwa kibali gani? Kwanini hajaeleza ni kwanini alivuka JURISDICTION yake kwenye mkoa mwingine?
Je alikuwa na maslahi binafsi katika kufuatilia hizo njama?
Kingine ni kuhusu dawa za kulevya. Je kwanini hati ya mashtaka haikuwa na makosa hayo ya kukutwa na dawa za kulevya? Maana tuliambiwa ni tuhuma za ugaidi, kupanga njama za kuua viongozi na kulipua vituo vya mafuta. Hilo la madawa ya kulevya limetokea wapi leo?
Tayari tushaanza kuona legal loopholes. Natumaini mawakili wasomi wanayaona hayo madhaifu.