dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... hilo la madawa ya kulevya kutajwa leo limeshangaza sana! Itakuwa amepitiwa tu pengine walishakubaliana wasiliingize kwenye charge sheet ila leo amejisahau walikubaliana hivyo mitaa ya Lumumba!Polisi wa Tanzania vichwa maji kabisa.
Yaani huyu rpc kingai anazungumzia mambo ya dawa za kulevia ambayo hayapo kwenye charge shirt?
Yaani hata ufahamu wa kesi waliyoleta mahakani hana halafu eti ndio walimwamini Tanzania nzima amtengenezee Mbowe kesi.
Halafu Luteni kanali wa JwTZ anaripoti kwa mbavu tatu wa polisi.
Huu ni udhalilishaji na ukiukwaji mkubwa wa protocol.